Yani kwa kifupi,wamefukuzwa chuo,naona mnauma maneno. Tena mmojawapo ni clasmet wangu,procurement 2. Jamaa alikuwa analiweza sana hilo somo alilokamatwa kaandika mkononi majibu,Cost Acc. Alianzia cheti,hakuwahi kupata B plus,ni A tu kwnye cost. Sasa,tunajitahdi apunguziwe adhabu,arudie mwaka...