Recent content by Catie.L

  1. Catie.L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike kama uko MP achana na steji jamani (Picha)

    Na mpigwaji ndio kabisaaa...coz naona hapo ustaarabu ulitakiwa uanze kwa mpigwaji...mpiga picha yupo kazini tuuuu..
  2. Catie.L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumwa

    Get well soon ndugu.
  3. Catie.L

    JamiiForums Tanzania Hellow...

    Asanteni sanaaa wandugu.
  4. Catie.L

    JamiiForums Tanzania Hellow...

    Asante sana.
  5. Catie.L

    JamiiForums Tanzania Hellow...

    Habari wana JF...nimefurahi kujiunga nanyi...naombeni mnipokee.. Natanguliza shukrani..Mungu awe nanyi.
  6. Catie.L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata leo pia nimejaa majonzi tele

    Pole sana ndugu,jua kuwa wewe si wakwanza kupitia magumu na wala si wamwisho..na futa kabisa wazo lakujiuwa coz wampa nafasi shetani yakujiinua...kaza buti kwenye maombi mafanikio yapo karibu.
  7. Catie.L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona hivi, ujue usha disco kwenye moyo wake.

    hahahahahaaaaaa.....so funy...nimeipenda hiyo...hasa jibu la sms ya HABARI.
  8. Catie.L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba jina zuri la ku-save namba ya mke wangu

    Msave my every thng kama kwel wampenda...coz ni mkeo huyo na ndio wakufa na kuzikana...inaonyesha anakujal sana...na asipofanya hivyo utalalamika hupendwi...
  9. Catie.L

    JamiiForums Tanzania bonyeza hapa ujionee

    Wengine sim hazina uwezo..tufafanulie plz..au tupe njia nyingine yakuisoma hiyo.. natanguliza shukrani
  10. Catie.L

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya polisi na picha 7 za mganga wa kienyeji aliyekamatwa na kiganja cha binadamu kikivuja dam

    Duh....kwel utu hakuna mbele ya pesa.
  11. Catie.L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari, kwani maisha nayaona magumu sababu ya afya yangu

    Wahi hospital ukapate matibabu na ushauri nini ufanye...thn pendelea sana mazoezi na kunywa maji mengi,ni tiba asili hiyo.
Back
Top Bottom