Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,777
^^
Heri niwe peke yangu
^^
Mwanzoni alikuwa akiamka anakusalimia vizuri,anakupigia simu,'Baby Umeamkaje jamani,umeniota??Nakupenda sana,karibu chai jamani,I missed u so much in my dreams jamani,umevaaje leo,wooow,Umependeza,una ratiba gani leo,si ntakuona baadae mpenzi kuna Muvi imetoka,utaniambia unatoka saa ngapi nije nikuchukue,Mwaaaaahhhh Mwaaah Mwaaahhh tena hubby ake'...Miezi mi2 ya mwanzo hiyo,Penzi lina Vibration kali kuliko Motorolla.
Baada ya miezi 6 akaacha kupiga Simu,anakutext tu Goodmorning Baby,Am on my way to Office.Laters!..imetoka hiyo,mpaka jioni tena
Baada ya Mwaka sasa,anaamka tu kama ameota mizimu,hasalimii wala nini mpaka umshtue kama taxi za Tandale Uzuri,na ukipata bahati anakutumia Meseji KAVU kuliko Chips..
Mpenzi wako kabisa,Baby ake,ambaye wewe unafeel ndo baba watoto wako ajaye au mama watoto ajaye na unamringishia sana mtaani na kwa mashosti, anaamka anatuma meseji,ukifungua Inbox unaona HONEY BOO BOO unafurahia kweli, unakuta meseji imeandikwa,
'HABARI' kamaliza hapo..Eti Hubby ake huyo....
Basi na wewe mjibu...ZA KIMATAIFA KUTOKA CHANNEL TEN!
Dalili za Penzi kufa au kuwa ICU limewekewa Dripu!Habari kwani mi Ufoo Saro!
OVER !!!
Teh teh teh! Nimechekaje?senior boss bhana..ila ni ukweli kabisa kuna shost wangu alipatwaga na hii, yaani ilifikia hata akimtext asubuhi atamjibu jioni au asijibu kabisa akiulizwa anajibu hajaiona. Nikamwambia huna chako hapo chapa mwendo. Wanaume wengi siku hizi hawakwambii nakuacha, vituko vyake tu utajikuta umekimbia mwenyewe.
aa itakuwa vibaya hivyo.
Hahahaha pole yake sanaaa. Ila hyo ni kwa pande zote mbili. Hata nyie wanawake mnatufanyiaga vimbwanga sana at tyms kibaba unabaki unaugulia kimya kimya. Hyo michezo mnayo sana. Unakuta umemtumia dem text ndefu alaf anakujibu na " K " akimaanisha OK. Inaboa sana. Au unakuta kama we humcheck kwa simu basi na yeye pia hajigusi, anakula ganzi tu. Ushirikiano poor kabsa. LOL
hayatuhusuMwanzoni alikuwa akiamka anakusalimia vizuri,anakupigia simu,'Baby Umeamkaje jamani,umeniota??Nakupenda sana,karibu chai jamani,I missed u so much in my dreams jamani,umevaaje leo,wooow,Umependeza,una ratiba gani leo,si ntakuona baadae mpenzi kuna Muvi imetoka,utaniambia unatoka saa ngapi nije nikuchukue,Mwaaaaahhhh Mwaaah Mwaaahhh tena hubby ake'...Miezi mi2 ya mwanzo hiyo,Penzi lina Vibration kali kuliko Motorolla.
Baada ya miezi 6 akaacha kupiga Simu,anakutext tu Goodmorning Baby,Am on my way to Office.Laters!..imetoka hiyo,mpaka jioni tena
Baada ya Mwaka sasa,anaamka tu kama ameota mizimu,hasalimii wala nini mpaka umshtue kama taxi za Tandale Uzuri,na ukipata bahati anakutumia Meseji KAVU kuliko Chips..
Mpenzi wako kabisa,Baby ake,ambaye wewe unafeel ndo baba watoto wako ajaye au mama watoto ajaye na unamringishia sana mtaani na kwa mashosti, anaamka anatuma meseji,ukifungua Inbox unaona HONEY BOO BOO unafurahia kweli, unakuta meseji imeandikwa,
'HABARI' kamaliza hapo..Eti Hubby ake huyo....
Basi na wewe mjibu...ZA KIMATAIFA KUTOKA CHANNEL TEN!
Dalili za Penzi kufa au kuwa ICU limewekewa Dripu!Habari kwani mi Ufoo Saro!
OVER !!!
GPA yake usibonyeze !! LOL
the best approach i prefer more,yanini umwambie???kimyakimya tu,Teh teh teh! Nimechekaje?senior boss bhana..ila ni ukweli kabisa kuna shost wangu alipatwaga na hii, yaani ilifikia hata akimtext asubuhi atamjibu jioni au asijibu kabisa akiulizwa anajibu hajaiona. Nikamwambia huna chako hapo chapa mwendo. Wanaume wengi siku hizi hawakwambii nakuacha, vituko vyake tu utajikuta umekimbia mwenyewe.
Meseji KAVU kuliko Chips..
'HABARI' kamaliza hapo..Eti Hubby ake huyo....
Basi na wewe mjibu...ZA KIMATAIFA KUTOKA CHANNEL TEN!
Dalili za Penzi kufa au kuwa ICU limewekewa Dripu!Habari kwani mi Ufoo Saro!
OVER !!!
ndo kinachotkea kwangu sahv
the best approach i prefer more,yanini umwambie???kimyakimya tu,