Hata kam hujapewa akili bs Tumia common sense
Kwenda Zaid kwa manabi / kuja. Church sio ndio kielelezo kua mna Abudu San
Maana ya imani sio miujiza was mwamposa/nabii
Listen mdogo Wang au mkubwa wangu
Uko sahihi lkn nataka uweke statement sawa iko Hivi
Kwenye. Maisha ya utafutaji Kuna level ili ufike lazma uwe mtu wa Dini Sana Yani San Yan unashiriki katika madhabau ipasavyo
Hapo utavuka viwango lakn Gari sio mafanikio hio L300 sizan ni gari la thaman Zaid...
Umaskin ni shida Sana😂 mpak unajiuliza watu wanaishie lkn angekua mwenzie amejenga Villa na njee Kuna Bentley au Porsche asinge jiuliza. Hata aone Lamborghini iko parking
Wew Alie kuambia ukasome Ualimu Nan?
Maisha magum ndio Lin ulisikia wanafunzi usa wanakaa chin? Au shule hamna vyoo? Au Kuna hospital Haina wahudumu ? Au barabara na umeme hamna sehemu nyingi?
K
Wew nae kwa kukurupuka sasa which group am I talking about? Did I mention someone with database and networking skills? Or some one does CEOS?
Sometimes you better shut up you mouth , of courses You Dull
On Point
Tanzanians Elimu bado sana wengi wana Copy tu hata network yenyewe hawajui inaletaj ela kwa tz niliona msani X ana lalamika eti she has 8milions following but no commercials deal for her ,it's so Sad
Again Tz hamna monitization ya network no tiktok fb or ig unakuta watu wanaombana...
Habari wanna jm
Leo napenda nionge na vinaja 20s mpaka 35 ni kwa ufupi
Moja ya mambo muhimu ni mahusiano je mwanamke gan sio wa kuwa na mahusiano nae kabsa ?
✓kama hawez kumud gharama za kusuka na anapenda kusuka 3x a month
✓Mwanamke muomba pesa za kula
✓kijana usiwe na mwanamke amepanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.