Recent content by cathy14

  1. cathy14

    Asante Mungu nimepata kazi serikalini

    Nawashukuru sana wapendwa kwa kunipongeza
  2. cathy14

    Asante Mungu nimepata kazi serikalini

    Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia nafasi hii ya kipekee maana bila Mimi peke Yang nisingeweza anijaalie moyo wa kujituma kwa bidii bila kuchoka, pia nawashukuru sana wana JF na ambaye alijitolea kuweka lile tangazo la kazi mungu awabariki, ambao bado mnatafuta kazi msichoke wala kukata...
  3. cathy14

    Natafuta Marafiki

    Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM
  4. cathy14

    Natafuta kazi kati ya hizi

    Habari ndugu zangu! Natafuta kazi kati ya hizi personal Secretary, receptionist au customers care, Nimemaliza diploma ya Secretary Chuo cha Tanzania Public service college, nimchapa kazi na mwenye kujituma, Nina nia ya kufanya kazi! Kwa yeyote tuwasiliane PM
  5. cathy14

    Akiniambia nina mtu basi nakua sina jipya

    Tumia njia nyingne
  6. cathy14

    Inaumiza ila ndio imeshatokea!!!

    Kuna watu wameumbwa kunyanyasa nafsi zilizo nyonge na kupondeka roho
  7. cathy14

    Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Ki ukweli mmetuandama wakurya
  8. cathy14

    SCI Internal Job Bulletin 18/06/2014

    Gattychandy@gmail.com please
  9. cathy14

    Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

    Kipimo cha mapenzi ya kweli na uaminifu wako kwake" isije ukasingizia ule usemi wa fimbo ya mbali haiui nyoka ila ya karibu ndo unaua! Kibinadamu siyo know that
  10. cathy14

    Wanaume wapo makini na jasho lao

    Jamani wasichana wenzangu punguzeni kusachi na kuwaibia wenzi wenu hela kwenye wallet na mifuko ya suruali! Shost angu ananiomba ushauri nawakati kalikoroga mwenyewe hata cha kumshauri nimekosa, MTU wake kambamba akichomoa hela kwenye wallet yake baada ya hapo jamaa katoa kibuti akisema...
  11. cathy14

    Chance ya kupata kazi uhamiaji

    Mi nimefanya juzi komaeni ndugu zangu shughur ya kule si ndogo na interview ni oral Tu hakuna wrriten mnagawa kimakundi
  12. cathy14

    Mnatufikiriaje jamani

    Haaaaaahaaa nipo kihora
  13. cathy14

    Mnatufikiriaje jamani

    Hivi kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume! Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiriaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike?
  14. cathy14

    Fumanizi

    Ukimfumania mpenz, mke, mume wako live bila chenga na mtu mwingine utachukua jukumu gani ambalo angalau ukifanya hilo nafsi inatulia kidogo! I like to hear from you best friends kwa wale walio wahi kutokewa watusaidie wengine kabla janga halijatokea
Back
Top Bottom