Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
leo nimeamka nausikiliza wimbo wa malaika, nakuhitaji, sijui kwa nini, ila ni mzuri sana.
Mkuu kuna tofauti kubwa sana. Mwenzako alikuwa katika uhusiano wakati wewe ndio kwanza ulitaka kuuanzisha. Maumivu ni tofauti.
Hata hivyo mimi naamini everything happens for a reason. In other words mshukuruni mungu kwa kila jambo. Move forward!
Zingatia ushauri ulopewa na walionitangulia!
itakuwa humfikishi huyo!
tafute mwingine kwani unangangania ni mama yako huyo acha ujinga wewe unalilia kama mjanehata ukimuuliza anasema unajua we mwenyewe.imenichoma sana