Recent content by Catel

  1. C

    Kombucha

    Nmekunywa Jana hilo balaa lake kwa bed si poa
  2. C

    Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    Kuna huyu mmoja nataka nimtegee mtego akijaa ni amekwasha...ashanisnitch vya kutosha hapa namlia timing tu
  3. C

    Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

    Umesoma ukaelewa kilichopitishw?ni kwamba kitakuwa na fairness...kama mlipambana wote basi ni sawa kupiga pasu..ila kama ndo hii umeolewa Leo baada ya mwez unavunja ndoa makusud ili upewe hyo 50
  4. C

    Ulipokeaje ya kupoteza nywele na kuwa na upara

    Nmeiscreenshoot reply Yako...naenda kulifanyia kazi...utakuwa unanipa 1&2 za namna ya kutokomeza
  5. C

    Ulipokeaje ya kupoteza nywele na kuwa na upara

    Ulihisi ni upungufu gan ulikuwepo?
  6. C

    Msaada: Kubadili taarifa za NIDA

    Vp kuhusu vingerprint kuingiliana mkuu?naombq muongozo
  7. C

    Wanaume wanaokataa ndoa sijawahi kuona sababu yao ya kimantiki, na wanaume sisi ndio waharibifu

    Sasa Kwan wote tuna hobbies zinazofanana?we kama Raha Yako ni kuwa na mwanamke focus on it ...wengine tupo kama michepuko wa wake zenu pindi mkiwazinguq wanakuja kupata faraja kwetu
  8. C

    Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

    Nlikuwa ilala boma mida ya saa tisa tupo kweny ka grocery ...nashangaa jamaa kapita speed anakimbizwa....kama dk 6 jamaa karud nae tunamuuliza VP huyu?jamaa analalamika ameibiwa sanaaa anataka ampeleke mwizi geto akapige na chupa ya value kubwa.....aysee jamaaa kaomba msamaha kwani jamaa alikuwa...
  9. C

    Usimpime kwa macho hii kitu ni ya ajabu

    Vp hakukugawia Salio?
  10. C

    Unadhani Mwanga ndio kitu chenye spidi ya juu kushinda kila kitu? Vipi kuhusu hili jambo?

    Hyo fikra imesaidiwa na mwanga kutambua rangi za hayo mashati
  11. C

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Waziiiii....haha umenikumbusha mbali sanaaa
  12. C

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    We ulipoona godoro limejaa sanaa hukujiuliza kwa Nini?
  13. C

    Mnaotaka wanaume wa maana, nanyi ni wanawake wa maana?

    Mwenyew natafuta bint anaepumua tu...mengine tutarekebishana....soko limekuwa gumu sanaa
  14. C

    Mnaotaka wanaume wa maana, nanyi ni wanawake wa maana?

    Sasa tako nacho ni kitu Cha kukosa?
  15. C

    Mnaotaka wanaume wa maana, nanyi ni wanawake wa maana?

    Hahah.,.umefika huku mamii?
Back
Top Bottom