Recent content by catecholamine

  1. catecholamine

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    HR 666 sahivi upo ardhi tena !!! Si ulikua unajigamba kipindi kile kuwa unaenda MUHAS kusoma pharmacy... Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
  2. catecholamine

    Kuna Vyuo Vikuu vinaaibisha elimu ya juu Tanzania(hasa vinavyoitwa 'Branch')

    Pitieni prospectus za vyuo mbali mbali vya afya ..vingi vinatumia hiyo 1.6 ....
  3. catecholamine

    kati ya phamacy & clinical medicine

    Kati ya hizo mbili bora clinical medicine .. Ila medical lab ni nzuri zaidi kama unampango wa kujiajili , kuajiliwa pia..
  4. catecholamine

    HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    Mkuu umewahi kusoma shule ya kata ?? Maana yaweza kuwa umesoma feza .. Au pengine hujasoma kabisa .. Afu unakatisha tamaa watu .. Binafsi nimeshudia watu wengi sana wenye uwezo mkubwa mno .. Na Wali Fanya vibaya kutokana na kusoma shule za government ..hivyo Kama huna cha kuandika ni bola...
  5. catecholamine

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Mpiga era .. Nenda chuo ukasome sawa , uelimike uondoe ujinga , ndio kwanza unaenda kuanza mwaka wa kwanza .. sijui unaenda kusoma kozi gani!! Afu mie nilijua .. Labda upo angalau mwaka tatu hivi ungekuwa na uelewa wa mambo kidogo .. Ukaweza kubishana na mie kaka yako ...Natumaini ukifanikiwa...
  6. catecholamine

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Ukifeli form six .. Diploma huwa wanachukuliwa kwa kutumia matokeo ya O level .. Na KIU diploma zipo .. Wala haina tatizo kabisa .. Hongera yake mwaka watatu anakalibia kumaliza..
  7. catecholamine

    UDOM chuo kinachozoa zoa

    Mpiga hera na post zake za kukurupuka yaani umbea umbea tu.. Afu ushahidi hana ana bwabwaja tu .. Wewe unasoma wapi ?? Na unasoma nn ? .. UDOM wanachukua waliofanya vizuri tu .. Nenda college ya health ukajionee pale ni 1 & 2 only .. Tena 2 ni kwa wadada sana sana.
  8. catecholamine

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Mbona hujibu maswali mengine niliyo kuuliza .. Mgogoro gani wa hivi Karibuni umeusikia ?? Je unauhakika kuwa wanatumia mtaala tofauti ? Hivi Umeisha soma prospectus ya KIU kweli ?? Unanipa wasisiwasi na elimu yako .. Educated people huwa hawaongei umbea wanaongea facts tu .. Afu unajibu...
  9. catecholamine

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Sijakulupuka Kijana ,, nimeisoma vizuri .. ada tuition fee ya CUHAs kwa BMLS & Bpharm ni 4,300,000 .. Wanapewa 3,100,000 hivyo wanaongezea 1,200,000 bado registration fee (administrative fees) ambayo ni 505,000 hapo accommodation sijaihusisha.. Wakati KIU ada ni 3,800,000 tu .. Wanaongezea...
  10. catecholamine

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Hayo mambo yalihusisha diploma & certificate .. Na hivi sasa yalisha isha .. walienda kuomba usajili wakanyimwa kwakua walienda kusoma chuo bila kupitia nacte ..sahivi hizo mambo zimeisha isha ndio maana hujasikia tena toka juni 2015.. Watu wanamaliza wanaajiliwa kama kawaida .. Wengi wapo...
Back
Top Bottom