Recent content by cataux

  1. cataux

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jijini Mwanza abiria tumeshindwa kuendelea na safari leo

    Nikweli aisee pia la kwangu nilinunua kkoo jipyaaaaaaa likapata shida..vyombo vya moto hatarii[emoji23]
  2. cataux

    JamiiForums Tanzania Nani aijuaye kesho?

    Data unapata wapi mkuu..
  3. cataux

    JamiiForums Tanzania NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

    [emoji23][emoji23]
  4. cataux

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa hizi ndo sababu zilizonifanya nikaacha ualimu

    Jambo jema sana umefanya, kwasasa tuliza kichwa yasome mazingira kwa kina pesa iko hapo mlangoni kwako soon...
  5. cataux

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu iliyomfanya Mwafrika awe mkia na aendelee kuwa mkia milele daima

    Hizo ni dalili za hasira ndugu, kama unaishi na ndugu mwambie aondoke kwa lazima vinginevyo utakuja kuharibu simu yako kwa uandishi wa hasira
  6. cataux

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafanikio ya haraka ili kukimbizana na umri wangu

    Class 6????? Toa pesa ya kufanya tangazo mkuu
  7. cataux

    JamiiForums Tanzania NMB wamejitoa huduma ya 'Salary Advance' kwa Watumishi wa Umma

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. cataux

    JamiiForums Tanzania Je, unaamini kuwa uchawi upo?

    Amini wewe sio wengine...ssi tunatwanga tu!
  9. cataux

    JamiiForums Tanzania Jichagulie Dunia YAKO

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. cataux

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahusiano gani kati ya Sayansi na Dini

    Funguka kidogo aisee ndugu
  11. cataux

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo rahaaa tupu

    Dah!!!! Aisee uko nyumba ndogo hatarii Sana wake zetu kaa mkao was kula.. nilichokikuta ukooo
  12. cataux

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni unayekimbia kutazamana usoni, fahamu kuhusu mgusano wa macho usiopepesa(Constant and unwavering gaze)

    Mada/uzi haujalenga sana kwenye jambo flani ..miongoni mwetu tunainyima heshima mada na kuleta vitu vingine kwanini lakni?????
  13. cataux

    JamiiForums Tanzania Mwanga, Kilimanjaro: Wajawazito 975 wakutwa na VVU

    Ni nmna tu ya kuvifanya vichwa vyetu viwaze mabaya tu.. napita tu mkuu
  14. cataux

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Mahindi ya Dar!

    Mikoani ukilipata kama hilo njoo nikupe zawadi hayo yanatumwa kwa wasomi, wenye pesa watu wa darisalamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom