Recent content by cassim abed

  1. C

    JamiiForums Tanzania CCM iache kumu-abuse Makongoro Nyerere

    Nimeipenda hii comment ya pukudu ipo na afya ya kushiba gd!
  2. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA Kutapakaa nchi nzima

    Watakoma ubishi mpaka kieleweke jeuri itawaishia na hivi wanavyonyofoana ktk kura za maoni hapo tunaongeza kura.kwa kupata ushindi wa kishindo wa 65%
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

    Kilichofanyika ndani ya chadema ndicho kilichotokea Kenya kwa uhuru na ruto kutengeneza alliance dakika za mwisho na kuchukua nchi bila ya kutumia muda mrefu wa kampeni.hivyo Edo. na ukawa wanaweza pamoja na misukosuko ya hujuma za ccm kuwavuruga slaa na lipumba bado wananchi wanaona ndio njia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Watu wazima kama mapunguani wa akili wanalazimisha picha kama mpasha habari hajawa na simu ya kiwango asirushe habari muhimu! na kama mazingira aliyokuepo hayakumruhusu kuchukua picha afanyaje?Mbona mnaletewa picha za kugushi humu mnaamini huyu ndugai kapiga mtu haijalishi kwa fimbo,gongo,rungu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatakiwi kabisa kuhama CCM kwenda upinzani

    Ccm si mama wala baba wa lowassa hâta julias nyerere alisema demokrasia pana inahitaji utashi na sio mapenzi kama ulihonayo wewe kwa ccm,kama mtu anabadili dini aliyokuta wazazi wake wanaabudu iweje chama.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais

    Tatizo wale cuf wanatoa mchango wa kura za urais kupitia zanzibar ambazo nimuhimu kwa ushindi.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mahakama kuhusu Makala ya Gazeti la Mwananchi "Mtandao wa Rushwa Mahakamani"

    Watoe namb sa simu au kesi zão ili iweje! katika hali ya kukata tamaa wananchi wanapaza sauti São kupigia média il taasisi husika ifanye nazi saké sio mtu mmoja mmoja apeleke ushahidi tendeni haki kwa wananchi mnapotupeleka sipo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania TBC kama kawaida washaanza kuonyesha vita ya Kagera

    Hadaa na propaganda za kijima zimepitwa na muda watu wa sasa sio.vijijini tu bali hata mijini picha kama hizo ni za kawaida sana.kila siku wanaona matukio kama ya uarabuni,ulaya nk haiingii akilini kuwageuza akili são wasijue udhalimu wa ccm.mwaka huu wanalo.
  9. C

    JamiiForums Tanzania BVR Accessories zinaweza kufaa kwa matumizi gani mengine?

    Zinaweza pia kutumika kwa zoezi la kuandiikisha vitambulisho vya uraia.na matumizi mbalimbali ya IT
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    taarifa ya habari ya ujerumani mtangazaji sudi mnete anamuhoji John mnyika kuhusu ukimnya wa ukawa kumchagua mgombea wake nafasi ya urais kamwambia kua mgombea wa ukawa atatoka ndani ya UKAWA na sio ccm.
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    setting
  12. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Setti g
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

    Hakika kauli yako ni sahihi na hiyo ndio hali halisi iliyojiri whitehouse muda mfupi uliopita.
Back
Top Bottom