Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Ni aibu kubwa kwa Tanzania na HESHIMA ya Mwalimu Nyerere kuwakilishwa na Makongoro
Kama Mtanzania huru, niseme wazi, nimefadhaishwa sana na binadamu aitwae Chaeles Makongoro Nyerere Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa aina ya wakilishi wa Familia ya Mwalimu Nyerere kwenye Uzinduzi wa Kampeni zao Jangwani jiji Dar leo,
Heshima ya Mwalimu Nyerere ni kubwa mbele ya dunia na haimithiriki hata kwa punje ya haradari, uwakilishi wowote mbele ya umma yafaa uwe na adabu na utii wa kiwango cha juu sana,
Uwakilishi wa Makongoro huu ni udhalilishaji mkubwa dhidi ya heshima ya mwalimu na familia kwa ujumla, Haiingii akilini mtoto wakutegemewa wa Baba wa Taifa kuwa na lugha chafu hivi mbele ya umma, kibaya zaidi leo amepanda jukwaani kwakupitia uwakilishi wa familia ya Mwalimu Nyerere,
Nimefedheheka sana mimi kama mtanzania, naamini Mama Maria Nyerere pia amefedheheka nakujikuta kumbe ccm na Makongoro wapo kitu kimoja kuidhalilisha familia hii yenye heshima kubwa duniani,
Siamini kama kweli familia imemteua awakikishe kweli maana yupo kiongozi wa familia Chifu Wanzangi ndie mhusika wa masuala ya familia hiyo.
Kwaaina yoyote ile ya mitazamo, Mimi Yericko Nyerere mkulima wa Bamia Mbutu Kigamboni, Ninalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu wa Makongoro dhidi ya heshima ya Mwalimu Nyerere na Familia yake
"Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao"