Recent content by Casablanca92

  1. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Habari kk? Naomba kujua TCAA wapoje in terms of Salary na Benefits nyingine
  2. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Shukrani sana kiongozi. Respect
  3. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    @bidam90 Kuna hawa jamaa wengine wanaitwa PURA vipi wao ukiwacompare na Ewura & TPDC? Msaada hapo Mkuu kama una ABCD yoyote?
  4. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Shukrani sana mwamba. Kimsingi hizi nondo zimejitosheleza vyemaa
  5. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Hello guys! Naomba kujua kama Kuna mtu anayefahamu salary scale ya EWURA na remunerations nyingine kama per diem's, extra duty n.k....je uki compare na TPDC wapi kuna Maslahi bora zaidi?
  6. Casablanca92

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    LATRA anakosekanaje hapa kwa mfano?? Probably kwenye Tano (5) Bora hawezi miss out. Yaani ni [emoji91][emoji91]
  7. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Majina ya kuitwa kazini yametoka BRELA. But what's shocking ni baadhi ya majina yaliyopo kwenye placement hayakuwepo kwenye call for interview
  8. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Respect sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri. Appreciate
  9. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pamoja sana kiongozi kwa maelezo mazuri.
  10. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa kawaida Ile ni per diem ya siku 7 plus nauli
  11. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha kabisa kaka. Miezi mi2 plus nasugua benchi baada ya kulamba asali. Sio poa kabisa asikwambie mtu
  12. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aisee umempa ushauri mzuri sana bwana Mwifwa Binafsi Mimi nilichukua barua utumishi mwishoni mwa Mwezi wa pili na nikaenda kureport Mwezi wa pili. U can imagine ijumaa ya tarehe 5 may ndio nilipigiwa simu kuitwa kazini. Asijichanganye kabisa kusubiri aende kureport then arudi home
  13. Casablanca92

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na pia majina hayajapangwa alphabetically kama ambavyo wamekuwa wakifanya kipindi Cha nyuma. So nadhani hizo errors wameziona that's why wamelitoa
Back
Top Bottom