Recent content by caryeda

  1. caryeda

    JamiiForums Tanzania Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

    Huyu January unaemsema hapa una uhakika jina lake halitatokea kwenye report ya hii tume mpya ya kijinai...?
  2. caryeda

    JamiiForums Tanzania Viongozi walioshindwa kuweka sera nzuri wanaishi kwa mihemko na miluzi kama mbwa

    Itoshe kusema huna akili kama unaona anayofanya huyo anko T ni sahihi
  3. caryeda

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yatosha sasa, maumivu unayopata hukustahili, Acha watanzania wakinywee kikombe chao!

    Wanaotakiwa kumfikishia huu ujumbe wakiuona wanaufuta
  4. caryeda

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Wewe ndo ilitakiwa uwindwe ile oct29
  5. caryeda

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

    Nimelia sana baada ya kuona mwanaume anawaza dressing table
  6. caryeda

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Bahati mbaya ni kuwa huyu unaemuwaza achukue hatua yeye anawaza aandike vipi ujumbe wa kuwatakia watu heri ya mwaka mpya
  7. caryeda

    JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha nyuma ya logo ya "kappa"

    Hakika wewe jamaa ni muongo mnoo
  8. caryeda

    JamiiForums Tanzania Vipi wale Wapuuzi wakiongozwa na Ahmed Ali mliokuwa mkimsifia Kocha Matola kuwa ni Bonge la Kocha mnaendelea Kumsifia au mmeshatuelewa tunaojua Soka?

    Popoma ushaukweka tayari umeamka na Matola...Wewe watu hawawezi kukuelewa wala kukusikiliza tena tangu ulivyoshiriki kwenye wizi wa mchezaji flani pale airport miaka hii ya juzi kati
  9. caryeda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Mimi nakuzingatia sana lakini kila nikifikiria kijijini ambapo natakiwa kuwapeleka ni Mbeya nakosa nguvu kabisa naona bora hapa town
  10. caryeda

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Hapana ukitaka kufika Mwandege pale Mbagala kuna magari yanayoelekea mkuranga hapo utafika safari yako salama na kuweza kurudi kujiandaa na D9
  11. caryeda

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Nauli 1300 magari yapo mengi kuliko abiria haswa kuanzia saa3 asubuh mpaka saa10 jioni ila baada ya hapo abiria wanaanza kuwa wengi kuliko magari
  12. caryeda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj wasiuziwe petroli zaidi ya lita 2, wanayatumia kuchoma majengo na miundombinu

    Kwahyo watabandika picha za waendesha bodaboda kwenye vituo vyote vya mafuta vilivyopo chunya ili kujua kwamba huyu kashauziwa au bado wamiliki wawe wanapigiana simu akienda kituo kingine
  13. caryeda

    JamiiForums Tanzania Wamefeli tena. Gen Z wawakataa masheikhe ubwabwa

    Mimi naendelea kusoma kila unachoandika wewe Kisandu new version
  14. caryeda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Walipost usiku mnene watu wakiwa wamelala ila kulivyoanza kukucha admin wao akaifuta haraka sana...Hata wanaetaka kumtetea nina hakika hajaona hii post
  15. caryeda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania

    Muda mrefu sana nilikuwa napingana na ubongo wangu ulivyokuwa ukikutafsiri wewe kama "kichwa box"ila leo nimekubali saaa
Back
Top Bottom