Recent content by Carrick16

  1. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Pole sana.. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
  2. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nimechek salio chief
  3. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB tayari.. naona wote tutafikiwa ni swala la muda
  4. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato tayari.. unaangalia kwenye ess.. balance ya mikopo yako kulinganisha na balance ya mikopo mwezi uliopita, utagundua imepungua.. hayo ndo makato watu wanayoongelea humu
  5. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato tayari.. tusubiri mzigo sasa
  6. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB tangu wamerekebisha mfumo wao.. mambo yamekua ovyo.. Hii Salary advance itakula kwetu kipindi hiki
  7. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sio mazuri.. ila umenichekesha sana mwamba, waambie kesho utaleta wasiwe na wasiwasi na wewe
  8. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB tayari..
  9. Carrick16

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Upo sahihi... Jumapili tulishawahi kufurahi mara nyingi tu
Back
Top Bottom