Recent content by Carrick

  1. Carrick

    Taja vitu vitano unavyovichukia kuliko vitu vyote

    Uuuuuuuwi nimecheka mpaka mbaya zinauma
  2. Carrick

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Hili tatizo nami lanisumbua sana. Nilipata matibabu lakini bado halijatengemaa[emoji23]nazidi kuhaha na vipimo
  3. Carrick

  4. Carrick

    Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

    Uuuwi jamani vipanguso hivi. Nilimaanisaha usoni sipakagi mafuta kwani uso una mafuta sana.
  5. Carrick

    Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

    Natumia Vaseline na usoni huwapipaki mafuta yoyote kwa sababu uso wangu unatafuta sana. Huwa napaka poda tu. Na kwa upande wa uzidi wa mpango nikitulia loop (kitanzi) wakati tayari ndevu ninazo.
  6. Carrick

    Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

    Tatizo Hilo pia ninalo na dada yangu pia lakini mama yetu Jana sasa sijui kama ni kurithi kutakuwa ni kwa baba ama mama maana nimejaribu kufuatilia sijaona meingine kwenye ukoo wetu
  7. Carrick

    Rais wa Malawi apinga utabiri wa TB Joshua kuhusu kifo chake, amuita muongo

    Leo ni tarehe moja April still waiting for the news!
  8. Carrick

    Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

    Naungana nawe ndugu. Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha mbalimbali ikiwepo kiarabu na kibantu na sio lugha asili!
  9. Carrick

    Naomba kujuzwa visawe vya maneno haya kama vipo

    Visawe maana Yake ni maneno yenye maana sawa au maana zinazokaribiana mfano ukisema beseni/karai
  10. Carrick

    Naomba kujuzwa visawe vya maneno haya kama vipo

    Mende na kinyonga
Back
Top Bottom