jamani ile list ya mapolisi iko wapi?mbona kama siredi imefutwa??naomba mnitag niangalie kama bae wangu yupo jamani maana naona hali yake si mubashara siku mbili hizi.ON A SERIOUS NOTE
na mimi pia nilinyimwa.niliambiwa hadi huyo mchunba aje hapa Tanzania,tufunge ndoa,na tena awe ameishi zaidi ya siku 21 ndio anaruhusiwa kunioa.yani ni process ndefu sana na uwezekano wa kunyimwa visa ni 90%
Izzo ondoa hofu mkuu.ndio kazi yangu hiyo nasukuma siku.japo siku hizi wageni wamepungua sana kutokana na kodi nyingi na kero kwa wageni.si unajua bongo ni ngumu sana ukiwa huna kazi na una familia.
kwa mujibu wake,alipo ni mbali sana na Delhi.sasa anataka kujua kama kuna agency sababu alimpa hela mdada anaerudi na simu uyo mdada alipotea mazima hadi leo.ndio maana yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.