Natafuta Kazi Ya Usafi

Angel Suzie

Member
Dec 27, 2015
68
15
Mscahana nzuri sana miaka 23 anaitwa Mary, amepata Mafunzo ya Housekeeping kwenye kampuni, anatafuta kazi ya Housekeeping. 0682010010
 
Kama ana cheti cha usafi aombe kazi bandarini, office attendant. Ila la kuleta mambo ya uzuri wengine tunachukia ,hata morali ya kumsaidia inaondoka. Who is mzuri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom