Recent content by CarloJesus

  1. CarloJesus

    Makampuni ya simu hayawezi kutengeneza simu zisizohitaji screen protector?

    Hivi makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutengeneza simu yenye kioo ambacho wateja hatutahitaji screen protector? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. CarloJesus

    Natafuta mwanamke wa maisha yangu

    Assist ya viungo wa Barca[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. CarloJesus

    Ukweni Pamoto Jamani, yamenikuta

    Hongera kazi nzuri ya fasihi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. CarloJesus

    Natafuta mwanamke wa maisha yangu

    princess ariana, Princess Amina...mbona unachelewa kuja sasa[emoji847] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. CarloJesus

    Natafuta mwanamke wa maisha yangu

    Mkuu sio muhimu Sana...japo Ni urembo wa mwafrika... kikubwa awe intelligent na mchamungu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CarloJesus

    Natafuta mwanamke wa maisha yangu

    Amina Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. CarloJesus

    Natafuta mwanamke wa maisha yangu

    Mada tajwa yahusika Natafuta mwenza Wasifu wangu Siku miingi nshamalizana na Elimu ya(wao wanaita ya juu)chuo Nimewahi kuajiriwa...nikaamua kukiajiri Sina mtoto Wala sijawahi kuwa na mke Ni mkristo (MKATOLIKI) Shughuli zangu kubwa kilimo Nb.Nawapenda na kuwaheshimu wanawake wote,lakini...
  8. CarloJesus

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Huu msala Kwanza utamgusa Sechaba... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. CarloJesus

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Imeoneshwa kapigwa chuma...Sasa hatujui Kama ka dead au la Sent using Jamii Forums mobile app
  10. CarloJesus

    Madalali wa kwenye mazao ni wauaji na wezi

    Bongo tofauti mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. CarloJesus

    Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Loh pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. CarloJesus

    Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Mkuu ma vyeo ya kipolisi siyajui...ila nilisikia wanasema Ni kamishina jeneral sijui upupu gani Nilipelekwa mahakama ya mwanzo,nkasomewa shitaka nkaambiwa nakubali au nakataa nkakataa Ikaamriwa nirudishwe mahakami wiki moja baadae Tena...nilipata dhamana Ile kenge general haikutokea...
  13. CarloJesus

    Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Umenicheoesha...sijui Sasa....lakini bagamoyo road....hasa kuanzia maeneo ya tegeta nyuki kwenda Hadi Boko huko,usalama Ni mdogo Sana usiku...nilikimbizwa na vibaka saa nne usiku ,nkakimbilia kwa Masai walinzi wa hardware zile kubwa....ooh jamaa wakali hatari...kidogo wanichenjie...wakanifukuza...
  14. CarloJesus

    Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Duh Mkuu pole Sana...tusamehe...jamaa yangu alimjaza boss wa kampuni moja kubwa Kama referee kwenye kampuni X tuliyokua tunafanyia kazi Asee alimchafulia...line manager wetu alikua mtu poa Sana ...kamwita jamaa kamwmbia referee wako kakuharibia...Basi na report ilishafika kwa mzungu Ajabu...
  15. CarloJesus

    Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Mkuu Asante... ni Zama hizi hizi za herode asiemjua Yusufu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom