Recent content by Cardinalist

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kuweni Makini na SD Card Fake

    Moderators, Hii ni habari. Ilipaswa kuwa jukwaa la habari na hoja. Otherwise hakuna habari inayopaswa kuwa ktk jukwaa la habari
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuweni Makini na SD Card Fake

    Hasa kwa wenye simu za Android au touchscreen. Ukiona applications zinakuja na kupotea au simu ipo slow ujue tatizo ni sd card. Tuwe makini kuepuka sd card za kichina
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimesahau password ya laptop yangu

    Hiyo itakuwa sio laptop yako. Na hiyo ndio kazi ya password
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kaspersky Activation Code

    Heshima kwenu wana JF. Ninaomba msaada wa Kaspersky activation code. Nitashukuru kwa kuwa mazingira niliyopo yamelimit. Natanguliza shukrani !
  5. C

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Redio UHURU na Gazeti la UHURU hawajalipwa Mishahara ya mwezi wa 7 mpaka leo...

    Nadhani anamaanisha mishahara ya miezi saba
  6. C

    JamiiForums Tanzania wadau wa muvi

    There is a program known as Vuze. Its very good and appropriate. Hata ukizima Computer ukiwasha inaresume
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa sintah, kanumba mbaroni kwa unga

    Ni nani anayewatumia hawa vijana. Maana wakikamatwa huwa baada muda mfupi wanaachiwa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Huduma internet mtandao wa airtel ZINATISHA!!!!

    Bundle za airtel huwa ni za kijanja. Mtandao upo slow mpaka inaexpire unakuwa bado na salio. Nina modem ya airtel nilishaacha kuitumia. Kwa sasa naona voda iko vizuri zaidi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ujio wa obama na matumizi ya bilioni 161

    Jipange kabla ya kuchangia.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Muda mwingi sana tunapoteza kwenye mitandao...

    Nimekupata mkuu !
  11. C

    JamiiForums Tanzania Shimbo ni Uteuzi Makini

    Unaongelea mambo ya kusikia ! Basi utasikia mengi ikiwamo yanayokuhusu na familia yako !
  12. C

    JamiiForums Tanzania Muda mwingi sana tunapoteza kwenye mitandao...

    Labda ungesema walimwengu wanapoteza muda mwingi kwenye mitandao. Maana ulaya ni kila kitu kwenye mtandao. Otherwise yours will be rudimentary ideology !
  13. C

    JamiiForums Tanzania SITTA: Serikali tatu ni kujitafutia ulaji.

    Angetoa na ushauri iweje? Huyu hakupaswa kuwa kiongozi.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi katiba ya muungano kuundwa kabla ya ile ya tanganyika?

    Mtoto hawezi kuzaliwa kabla ya wazazi. Wazazi ni katiba ya Muungano then zinazaliwa Zanzibar na Tanganyika. Hii ni kwa kuwa huwezi kutunga katiba nje ya Muungano. Nampongeza sana Jaji Warioba na tume yake !
  15. C

    JamiiForums Tanzania Shimbo ni Uteuzi Makini

    Ameteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini China.
Back
Top Bottom