Wadau hii imekaaje? Iwapo raisi wa Marekani anazuru bara la Afrika na kutumia zaidi ya TZS Bilioni 161, je atanufaika na nini? Na vipi kuhusu hapo Ubungo symbion kuna issue gani na wamarekani kwani Hillary Clinton akiwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani alikwenda kupatembelea na Obama pia atapita hapo. Je ni kwa manufaa ya nani? Naomba mnidadavulie.