Recent content by Captain22

  1. Captain22

    KERO Foleni isiyokuwa ya lazima Moshono Club D

    Meneja TARURA Arusha CC, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Mayor Baraza la madiwani Arusha jiji na Diwani. Kuna kero kubwa sana na hata hatari kwa watumia barabara pale stendi ya hiace/ pikipiki Moshono. Hapo moshono karibu kabisa na Chub D, hiace hazina eneo maalumu la kupaki hivyo zinalazimika...
  2. Captain22

    Stuck kindle paperwhite.

    Inaporestart inaishia hapo then screen saver appears.
  3. Captain22

    Stuck kindle paperwhite.

    I really don't know which generation is this. Nilikuwa natumia, nikaiacha for some hours. Nilipowasha ikagoma 😭😭
  4. Captain22

    TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    RIP Mzee. Mbele yako nyuma yetu. Jiandae kujibu ni kwajinsi gani ulileta furaha au machungu Kwa jamii ya kitanzania kutokana na maamuzi yako. Ulijiita Baba wa mageuzi japo sikufahamu kwanini. Rest where you belong Mzee wa kibamba
  5. Captain22

    Stuck kindle paperwhite.

    My kindle paperwhite imestuck. Doesn't charge and doesn't reboot. Nimejaribu all means like pressing the power button for more than 60 seconds but all in vain. Please help
  6. Captain22

    Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Mbaya zaidi, TANAPA haina mandate ya kujenga hotels. Kazi ya TANAPA ni uhifadhi na siyo biashara ya kulaza wageni.
  7. Captain22

    Mwamtumu Mahiza , Skauti Mkuu Tanzania aapishwa Ikulu Jijini Dsm

    Scout mkuu wa kuapishwa na Raisi? Ni bwebwe za kumpatia bi mzee kitu cha kuhipatia kipato
  8. Captain22

    Gym ya Mazoezi maeneo ya Kibamba Dsm

    Kibamba kubwa Sana Kaka. Wapi haswa unataka?
  9. Captain22

    Missing someone

    MshanaJr karibu capital leo
  10. Captain22

    Missing someone

    Leo nipo Leon's gardens . Pretty Kama upo karibu njooo
  11. Captain22

    Missing someone

    Mbavu, mguu, mkono au kidari aiseee jombaa
  12. Captain22

    Missing someone

    Kuja pandee hii ya karibu na DJ
  13. Captain22

    Missing someone

    Karibu Sana MshanaJr.
Back
Top Bottom