Recent content by Captain Lelionka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke kanitoroka

    Pole kwa kuchelewa kusoma uzi, ushauri umeshatosha
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke kanitoroka

    Mahari ishalipwa taratibu zetu za kiafrika imeshafanyika siishi nae ile sogea tuishi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke kanitoroka

    Haya yalitakiwa tuyazungumze mimi na yeye tukubaliane lakini kutoroka ndio kasolve ilo tatizo au kaanzisha lingine tena?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke kanitoroka

    Asanteni
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR unaweka changamoto Kipawa. Njia za kuingia Nyerere Road zimefungwa

    [emoji3][emoji2][emoji3][emoji2]
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR unaweka changamoto Kipawa. Njia za kuingia Nyerere Road zimefungwa

    Kipawa tunachangamoto na mradi huu wa SGR njia zote za kuingia Nyerere road zimefungwa kwa maana ya Vingunguti, Airpot na Majumba 6(njia panda), hakuna njia mbadala kwa wananchi wanaoishi maeneo hayo. Unajiuliza imeshindikana vipi kufunga njia moja wakamaliza matengenezo basi wafungue na kufunga...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji ni uzalendo wa kweli kuliko utumbuaji majipu

    Rais wetu mpendwa kazi anayofanya ya kutumbua majipu ni nzuri sanaaaa.... Lakini jambo hilo linampa sifa yeye kama yeye na wal ai serikali yake... Nionavyo mim ni heri awabane na kuwalazimisha watu anaowatumbua waresign wenyewe kabla ya kuwatumbua... Hii ingekua inawatia watu moyo zaidi maana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtu akisema hana hela, wewe unamuelewaje?

    Muelewesha maana ya huna hela, inawezekana yeye anajua kuwa hela uliyonayo haifiki 50000 ndo maana kauliza ipo bei gan
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Kwa ufupi kabisa... Kwenye bajeti ya serikali huwezi kutofautisha oc na recurrent expenditure kwa sababu matumiz yote ambayo ni recurrent yapo kwenye oc... Mishahara kwenye programz za bajeti ina part yake ambayo ni PE, lkn inaposomwa bajeti mara nying bajet ya mishahara wanainclude kwenye oc na...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Msaidie maana inaonekana haelewi vizuri
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Ndugu... Bunge la bajet likianza jaribu kusikiliza mgawanyiko wa fedha za serikali... Then utapata jibu maana inaonekana uelewi unachokisema... Reccurent expenditures ndio Other charges... Hakuna part ya recurrent kwenye programz za kuandaa bajeti ila oc ipo na matumizi yote yenye nature ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Recurrent expenditure ndio oc nikueleweshe wew sasa... Oc inashughulika na matumizi yote ya ofisi yenye nature ya recurrent... Na kwa taarifa tu oc mara nying ua ni 60 to 80% ya bajet yote ya serikali
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Umeeleza vizuri sana... Baadhi yetu hatuelewi tofauti ya oc na dev
Back
Top Bottom