Recent content by captain 6

  1. C

    Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Iyo wew ni tajir ata utwambie vijana masikini
  2. C

    Ukanda wa pwani kuna laana gani?

    Ouongo jomba idadi ya machoko nying ipo bara kuliko zenj
  3. C

    Ukanda wa pwani kuna laana gani?

    Uongo ukipiga calculation mashoga wapo weng bara ukilinganisha na znzbar
  4. C

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  5. C

    Saudi Arabia yawaachilia huru wanawake watatu wa Nigeria waliokuwa wamekamatwa

    Saudi Arabia imewaachilia huru wanawake watatu wa Nigeria waliokuwa wamekamatwa na kushtakiwa nchini humo. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje kwa sasa, Kimiebi Ebienfa, katika taarifa iliyotolewa jijini Abuja Jumapili, Januari 5, 2025, alisema kuachiliwa kwao kulifuatia ushirikiano wa...
  6. C

    Una kipaji usichokitumia?

    Kipaji chang nilikuja kukigundua baada ya kudisco chuo,,,nilikua nahangaika na elimu kumbe nna uwezo wa kupika kuku na chips na bites zote unazozijua wewe pasipo kusomeshwa na mtu yyte ,,yani nilikuja kugundua baada ya kuwafunika wauza chips wote wenye mitaji mikubwa na wazoef maana si kwa...
  7. C

    Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

    Mjomba hilo ni geresha tu wasiojuilikana kamwe hawajuulikani na hao soon utawakuta uraian izo zinaitwa chezea akili ,,fisiem inazidi kujizolea point kwa kuwakamara wasiojuilikana feki
  8. C

    Mbeya: Mwanafunzi amtia Mimba Mwanafunzi mwenzake

    Alaf waislam wakioa watoto wenye umri chini ya miaka 18 waaambiwa wabakaji na wakat nature inatambua kua ameshakua mature mwanamke ,,watu tumefanyiwa brainwash na wazungu ety ukubwa sahihi unaanzia miaka 18 whats the f*k Narejea tena hii dunia miaka 20 ijayo dunia imejaa watoto wa nje wasio na...
  9. C

    Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Wasikuzuge hao walitoa kizazi kwa ajili ya ustar na umaarufu kwa upande wa wanawake ila mashart yalipowashinda wamebak maskin na majuto
  10. C

    Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Makilo hiii elim ya sekular tunaysoma mashulen sio elim halis ,,,wameamua kutupa tone tu la elimu ila bahar nzima wanayowao
  11. C

    Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Hao magaidi wakubwa wanaokuja africa na mashariki ya kati kuiba mali na kumwaga damu hamuwaoni ,,au ndio wanaokuramba matrrak* ,,
  12. C

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Sheria ya uislam unaijua kuhusu liwatwi mjomba au unajisemea tu,,quran imetoa maelezo ya kila kitu kuhusu adhabu ya kulawitiana ,,sasa akivunja sheria muislam mmoja ndio dini imetaka hivyo ??tumia akili acha kutumia makalio kufikiria hao vijana wapo uingereza na waekubali kuchafua imani kwa njaa...
Back
Top Bottom