Recent content by Capt

  1. Capt

    Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

    Naona wana remba sana
  2. Capt

    Nahitaji ushauri kutoka kwa Wazoefu

    Simple and clear mengine yata ji sort tu
  3. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Sawa ila mi bwabwa namwita kaka
  4. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Ko ni mwanamke ana k yule? Ni male biologically
  5. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Io 50/50 ni kwenye madaraka ila kuna mambo mtoto wa kiume hata awe shog anabaki kua wakiume tuuu na ndo linalo wapa heshima na kuwa waisha
  6. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Labda na wanaume wakianza kuwa na tabia za kikike na kwenda hedhi kusafisha mfumo ndo watadumu. Na wanawake waache umbeya wawe wanashinda vijiweni kupiga story za maendeleo ya nchi wakati nyumbani wana matatizo hawa funguki
  7. Capt

    Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Ao mashabiki wanaongea ushabiki hamna akili hata moja inayo tumika apo
  8. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Inaonekata unawish sana iwe ivo. Dah
  9. Capt

    SIRI: Kwanini wanaume wanakufa sana kwenye Ndoa/Mahusiano

    Uwoga ndo unawaweka pia mfumo wa kiafya na ujasiri na udume ndo unafanya wanaume wawahi hilo halijawahi badilika toka enzi na enzi
  10. Capt

    Mke kwenda kwenye party ya harusi usiku mume akiwa safari

    Unakuta anasema vaa kitenge mda wote. Hizi ndoa hizi
Back
Top Bottom