Recent content by Capt Tamar

  1. C

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kawa Trillionaire tena.

    Hapo nimekuelewa haswa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Bilioni 21, siyo 2 sheikh, wale makatoliki wa arusha waliojenga lijikanisa la mabilioni sijui 70 na ngapi mbona hamkuwaambia wajenge chuo au kiwanda? Yaani makafiri watupite kwa ma vyuo, mashule, ma hospitali hadi na masinagogi watupite? Hapana sheikh! Tena ujengwe wa ghorofa 20 kwenda juu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Watu 20 matajiri DSE mwaka 2026

    Typing error ni nyingi mno, kileo anaitwa kilworth,shirima shilima nk, rekebisha kwanza
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Meneja wa nyoko
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimefungiwa vitu bahasha ya mkataba wa mkopo haya ndio niliyoyakuta

    Hiyo ndiyo maana halisi ya kausha damu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamemkumbuka Rais Samia Wanatamani Hata Kusikia Sauti Yake Ikizungumza Nao. Ni Upendo Wa Agape Unaoonyeshwa Na Watanzania Kwa Mama

    Hapa nimeona 100% hawamtaki kabisa, hao watanzania unaowasema wewe ni wapi? Wa wapi? Maana kila ninakoenda nakuta watu wakimlaani, wengine wakitukana,na wengine wakimsonya samia, sasa huko ambako anapendwa ni wapi nije kufanya utalii? Lucas Mwashambwa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata kuuza duka nimesomea ufundi mitambo (mechanical engineering) mkoa wa dar es salaam

    Kuna kazi ya ufundi mitambo, mbali na dar lakini.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa kibiashara

    Ninq wazo, nina mipango tayari, na nia ya kuliendeleza, issue ni mbili, kwanza mimi si kijana, ni mtu mzima ninayesogelea uzee, pili mimi pia nina issues nyingine zinazoniweka busy muda mwingi, so ni either nikuuzie wazo langu alongside strategies, au tuungane kuli accomplish in other way...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

    Arusha hotel ilijengwa mwaka 1875, rekebisha
  10. C

    JamiiForums Tanzania Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Kuna waliopigana na hawakuwa askari kamili, nakumbuka kuna hadi madereva wa malori walishushwa kutoka kwenye malori yao na kupelekwa vitani, hao pia watahesabika kuwa ni askari kwenye mpango huo wa malipo? Wale ambao wengi baada ya vita kuisha nyerere aliwatunuku vi vyeo kama katibu kata na...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Na ubwabwa wenyewe umeisha, sasa hivi wanagombania ukoko
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Century of Electrification in 15 Years!

    Kwa msaada wa haohao mabeberu wa WB, kwa ccm hii ingechukua zaidi ya karne mbili ku electrify nchi nzima,
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema na wapinzani wengine nadhani mmeona wenyewe kuwa CCM si Mali ya mtu ni Mali ya watanzania

    Na pia ndiye mtoa roho, lazima aogopwe
Back
Top Bottom