Recent content by Capogi jr.

  1. C

    Kama hujisikiii kucheka soma kimya kimyaa

    hao wa2 hawafai dunia hi
  2. C

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    nina uhakika fainal hzi ztakua poa xna
  3. C

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Jamani hli kombe la kopa cabana ebu onen kikosi kile cha federation cup pale ceaser huku dan alves kule fernadinho huku hulk kushoto oscar kdogo jo kdgo neymar mbele kabxa unamalza na fred mzki mgumu jaman
  4. C

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Wakuu habari zenu jamani hapa twataka kujua katika fainali zijazo za kombe la dunia huko brazil huku kukiwa na jumla ya timu 32 zote zikiwania kombe 1. Kiukweli siyo timu zote zitannyesha competition ya hali juu la hasha kuna zingne zitakuwa kama wasindikizaji. Kwa afrika tumefanikiwa kutoa timu...
  5. C

    FA: ARSENAL VS WIGAN je arsnal atapita

    Wadau poleni na majukumu mi kwa leo nilitaka kujua 2 kwa upand wako wewe unaonaje mechi ya arsenal na wigan kesho. Je arsenal katika kiwango kibovu alicho onyesha msimu hu wa pili huku akiwa na majeruhi wengi ataweza kumtoa wigan au kufungwa na je wigan ataweza kumfunga arsenal kama alivyofanya...
  6. C

    Mwisho wa Manchester united kucheza Jumanne na Jumatano sasa ni Alhamisi na Ijumaa

    Hahaha!!!!!!! Wakuu habri zenu nina furaha kubwa sana kuiona man u ikiwa katika heka heka za kucheza au kutokucheza kabxa europa leage. Kwa sasa mech zake ztakuwj alhamis na ijumaa, au kwa lugha nyngine man u atakuwa anawacha wakubwa zake arsnal,live,chls, na city kucheza jumane na junatano...
  7. C

    Natafuta shule za private au government nzuli za kombi ya egm

    xaxa mkuu vp form zake naweza kuzipata wapi na intervw yke itafnyka wap
  8. C

    Natafuta shule za private au government nzuli za kombi ya egm

    Sasa mkuu hyo shule ipo wap na je form zake natapata wap za kujiunga na vp swala zima la intervw likoje imeshapigwa au bado na wap inapigwa kama bado
  9. C

    Natafuta shule za private au government nzuli za kombi ya egm

    Xaxa mku vp fomu yake ntaweza kuipata wap na vp intervw tayali au bado
  10. C

    Natafuta shule za private au government nzuli za kombi ya egm

    Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata fomu zao za kujiunga na shule hzo. Na kama kuna swala la kucheki tokeo langu mi nina 2 na nimesoma...
  11. C

    Natafuta shule za private au government nzuli za kombi ya egm

    Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata fomu zao za kujiunga na shule hzo. Asanteni wandugu kwa mchango wenu
  12. C

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Ki msingi haya makanisa ni mazuli tena yanafa cz wanamwabudu MUNGU wa kweli. Shida ni mkeo hajajielewa na haplay part yake kama mkeo mi nakushauli jalibu kwenda kusali hapo siku 1 lzma umwone MUNGU akikubdilisha mkuu
  13. C

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Haya jamani wale wa 24 augst namxaka ile mbya
  14. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wadau mech kali ndo hi siyo ile ya madrid na shalk 04. Hapa mo atakuwa anamkaribixa garatasalay tna ikiongonzwa na drogba na snijder huku chels wakiwa na babu wao kikongwe eto na ba. Swali kubwa je nan ataweza kuingia hatua nyngine, chels wikiend ameshuhudia akipigwa pale vila park na ramires...
  15. C

    Majina ya watu ambayo ni kitendawili kuyatamka mbele ya watu

    hahahahaha!!!!!!!!!! Mku hyo itakuwa mbna hatari xaxa nadhan wa2 wataxma spka amexuka kuwa na maadl mazuli teh teh teh!!!!!!
Back
Top Bottom