Recent content by CAPITALMAN

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi kuna massage yenye mademu wa kisomali?

    Naomba mwenye highlights za namna ya kupata visa ya Australia anisaidie tafadhali.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kero: Traffic kukuandikia fine bila kujua na bila kukujulisha

    Ndugu wana jamii forum, mimi nimekutana na kituko hiki siku ya tarehe moja May 2018, ambapo taa nyekundu iliniwakia nikiwa nilishakuwa katikati ya makutano ya barabara ya Mwenge nikieleklea Lugalo Hospitali kumuwahi mgonjwa niliyepigiwa simu kwamba anahitaji emergence service. Traffic...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

    Lol hii nimeelewa sana.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Wadau mimi nina swali, nasikiaga watu wakisema kubemenda, Je nini maana ya hili neon kubenda?
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I would appreciate your advice on letting a guy know that I want to date him

    As my colleagues have advised, I will not differ with them much, Just understand that making an early move to an African gentleman hasa mtanzania could lead to rejection if you do not make it carefully. For me the far you have gone is very enough for a gentleman who is really a gentleman to see...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Katika umri wangu mdogo lakini wa kutosha kabisa kuona na kutambua palipo na uonevu, udhalimu, hofu, kutokujiamini, unyanyasaji, ujinga na kutokuona, ninayaona ya serikali yetu yaliyo ya ajabu sana. Nawaza kwa ukimya nashindwa, nawaza kwa sauti bado nashindwa kuelewa. Huyu Tundu Lissu hamchoki...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari - Agosti 25, 2016

    Inasikika tu vizuri.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kama mwali hakutaki usilazimishe!

    Hello wanaJF wenzangu, jambo nalotaka kushare nanyi leo ni mtazamo wangu juu ya nini kinachotokea hivi sasa katika kampeni za kuomba kura kuelekea Octobner 25 ambapo watatnzania tutakuwa tukipiga kura, kuwacahagua viongozi wetu watakaotuongoza ktk kusababisha maendeleo ya nchi yetu kwa miaka...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Jamani hili jukwaa sio la matusi,tuelimishane. Kama kweli tafiti za TWAWEZA sio za CCM, tutaona zitakuwa na tofauti gani za zile ziliztangazwa na ccm. Watuambie wamepataje hizo takwimu zao. Kwa wale mlion na takwimu zitoeni basi, rusheni humu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Inasikitisha sana kuona serikali na chama kikongwe kama ccm inataka kuwa chanzo cha kuvuruga Amani ya nchi kwa kutumia kodi za wananchi. Huu ni wakati mwafaka kabisa wana habari mjitokeze muweke wazi mbinu hizi chafu zinazotumiwa na ccm kuvuruga Amani yetu. Watanzania tumesha amua kusema...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya IST inauzwa

    Nina 8M mkuu!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzungumza na Wanawake wa Dar es Salaam tarehe 27/8/2015

    Nimeconfirm mkutano hautakuwepo, mpaka hapo utakapotangazwa tena.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzungumza na Wanawake wa Dar es Salaam tarehe 27/8/2015

    Mimi japo sio mwanamke lakini , naomba nishauri kwamba muondoe kigezo cha mavazi ILA tu wasivae mavazi ya ccm. Wanaweza kuvaa mavazi yoyote yale. Kwa wanawake wa Dar es salaam, nawashaur pia mwende mkamsikilize mzee anawaambia nini, huu ni wakati wa mabadiliko Tanzania, siamini kama Lowassa...
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

    Bila hata tone la shaka, wewe ni mwanamke, tena umri mdogo kabisa, Ushauri wangu kwako, kwanza unachokifuata uko ni mapezi maana unataka kuolewa na huyo kaka. Mapenzi amekunogea sasa umepewa condition hiyo unaweweseka. Sikushauri ufanye hicho kitendo maana hakina Baraka, ndo maana rafiki yako...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    Inasikitisha sana kuona watanzania na akili zetu, bado ccm inatuaminisha kuishi kwenye zama za mwaka 1995. Siamini kama kuna mmoja wetu humu ndani asiyejua kama ccm wanafanya propaganda ya kutudanganya tuamini kwamba Lowassa pekee ndiye fisadi nchi hii. Embu tujiulize swali dogo rahisi kabisa...
Back
Top Bottom