Recent content by Capastor

  1. Capastor

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman Masoud: Inakuwaje Rais awe ndiye anaamua kila kitu na kusimamia kila Taasisi?

    Shida ya Tz vyama vipo kupambana dhidi ya vyama vingine, sio chama kipambane kuleta Maendleo
  2. Capastor

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

    Hiyo sera haifanyi kazi tena inachotakiwa ni serikali waje na sera mpya ambayo inaendana na uhalisia Mwenyew hapa nasubiri Bill nilipie huduma mkewangu niendenae nyumbani
  3. Capastor

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Hyo shule ipo kwenye kijiji, kata na halmashauri Pia ina kiongozi wa kijiji au mtaa diwani na wajumbe wake Hivi hao wameshindwa kutatua hyo changa moto? Sometimes viongozi wa chin huku tunaowachaguwa uwezo wao mdogo wa kutatua changa moto
  4. Capastor

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

    Demokrasia!!? Hvi ichi gani inafuata kanuni za demokrasia na haki za binadamu? Ni lile taifa la kitapeli na mabingwa wa props na mauaji ya kila siku au English people wapotoshaji
  5. Capastor

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Mada muhimu katika wakati muhimu
  6. Capastor

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

    Kuna kipindi ilkuja moto sana Inakamata popote nchin, lakin saiz hamna kitu natamani hata kuitupa lain yenyewe, ila navuta subra huenda kukawa na changes
  7. Capastor

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

    Ngoja tuone huenda kukawa na mabadliko
  8. Capastor

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

    PayPal account wanafungua je tupen maelekezo na vigezo vyake
  9. Capastor

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Ni hatua nzur kwa rais kukabiliana na aadui Tunasemaga adui muombee njaa na katika hili litampa mrusi nafas nzuri 1. Ataongeza thamani ya pesa ake 2. Zile pesa zake zilizofungiwa nje zitarud 3. Pesa za kigen zitaingia kupitia exchange ya rubles Mahesabu mazur sana viongoz wetu wa Africa...
  10. Capastor

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku kukabiliana na bei ghali ya bidhaa hiyo

    🇷🇺 Political dialogue with NATO in the current conditions is impossible, it makes no sense to even talk about the conditions for resuming contacts - Russian Foreign Ministry
  11. Capastor

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Wazungu hawataki kulaumiwa, ila wanapenda kuwalaum watu wenzao
  12. Capastor

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Viongoz watulie hyo vta sio yetu, ukikubar tu baadae utaambiwa changia wanajeshi wa kwenda kutoa msaada vitan
  13. Capastor

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

    Hawa jamaaa ni wajinga sana Any way ni wakati sasa wa sisi African kulima ngano kwa wingi sana kwasabu 1. Tunalo soko la ndani ambalo washindani wetu wapo vtani acha waendeleee tujipgie hela 2. Tutapata na soko la nje pia maana muuzaji wa kimataifa yupo kukpiga chabumbu Tulimen tuwaoneshe...
Back
Top Bottom