Kenya imekuwa ikipendwa na wazungu kwa sababu si tu ina vivutio, bali imewekeza sana kwenye marketing ya utalii (mfano “Magical Kenya”), ina miundombinu bora ya kufika kwenye mbuga na hospitality industry yao ilikomaa mapema kwa hoteli na tour companies za kiwango cha juu. Pia Nairobi ina urithi...
When a country hesitates between military action and diplomatic pressure, it often signals internal divisions at the top, for example; the Pentagon may push for a strong response while the White House fears political or economic fallout.
Trump’s “maybe I will” remark reflects a political...
Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
Ramaphosa alikwenda Marekani kutafuta nafuu ya kiuchumi, kisiasa, na kidiplomasia — licha ya ubaridi wa mahusiano — kwa sababu bado hatuna nguvu ya kusema “hatuhitaji.”
Na hii ndiyo hali halisi ya nchi nyingi za Afrika: tunakwenda hata kule tunakochukiwa, kwa sababu hatujajiandaa kuishi bila...
Rais Ramaphosa alikutana na hali ya fedheha, lakini hiyo si kwa sababu ya udhaifu wake binafsi pekee ni kwa sababu viongozi wa Afrika, kwa miaka mingi, wamejenga urais wenye mamlaka makubwa lakini misingi dhaifu: hakuna mfumo wa kujitegemea, hakuna umoja wa kweli wa Afrika, na hakuna sauti ya...
Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo:
1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump
Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo:
1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump
Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
Kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya ujenzi wa barabara. Naamini katika njia ulizozitaja hapo kuna either makazi ya watu au viwanja. Inahitaji kulipa fidia kama unahitaj kuestablish new route. Kwahiyo katika hilo ni suala pesa. Unaweza lipa fidia ikazidi gharama za ujenzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.