Umetiririka vizuri ila umelazimisha Bukuku aonekane yupo sahihi kwa alichofanya: je kwa kipi Lowassa amefanana na mfalme Suleimani??? msanii yoyote hawez kurupuka tu na kumwimbia mtu fulani lazima kuna 'ulaji' mkuu....
Naona wewe umetafakari kwanza na ukaandika hicho ulichoandika......
Injili na nyimbo za kidunia???? kwa mkristo atakuwa ameelewa nin maana ya mipaka....kila kitu kina ukomo, hakuna kitu ambacho kina uhuru: ndio maana kuna muziki wa injili, na usio wa injili (kidunia), no common point between...
Umenena vyema, tamaa ya pesa na kutaka kujulikana ili kujipatia umaarufu ndio tatizo linalowasumbua waimbaji wengi wa injili, hawaangalii mazingira ya huduma na mipaka yake....tuwaombee sana!
Akili ya maisha haitegemei kusoma tu, huyo mama ni mzembe kupitiliza natumai mumewe atakuwa kamlipua makofi japo haisaidii kumpata mtoto lakin itamfanya mkewe kuwa makin wakati mwingine na kutorudia ujinga aliofanya.
Inauma sana aise, mama wa mtoto kafanya kosa kubwa mno:
1. mtu humjui anakutaka muongozane kununua sweta unaenda tu...we hukuona umuhim huo mapema?
2. umenunua sweta sawa, iwaje unadiriki kupanda pikipiki tofauti na mwanao ili hali huyo msamaria uchwara humfaham?
damu yako kweli unaachia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.