Mara yangu ya kwnaza kumuona ndugu yangu Augustino Moshi akiandika namna hii yaani ni mzalendo mwafrika wa hali ya juu na aliyoandika kwenye reply yake ni sawa kabisa na vile vile hata mimi nimekaa sana Zimbabwe na ninafahamu vizuri sana system inavyofanya kazi na hatua za Mzee RObert MUgabe ni sawa kabisa ,hawa watu kwanini wang'ang'anie ardhi ambayo hawakuilipia hata cent moja?.JK kafanya kitu chaa maana kuonyesha mapenzi yetu kwa ndugu zetu watu wa Zimbabwe na kumbukeni hizo ni nyayo za mzee Kambarage anazozifuata JK ,sio kitu kigeni kwa mtanzania kuwa upande wa mwafrika mwenzake hatukuanza leo wala jana hatua kama hizo ,tuliupigania uhuru na damu ya mtanzania nayo ilimwagika katika nchi hiyo.
UHuru???...kazi ya chama
Willo