Pendelea kunywa juice ya nyanya glass moja kutwa mara tatu.niliona sehemu akielezea jinsi nyanya ilivyo tiba.kula nyanya kama matunda mara kwa mara.punguza matumizi ya chumvi nyingi na mafuta
Mafuta ya kupikia huwa yaneleta sana hiyo changamoto hasa haya ambayo sio pure alizeti.Anza kwa kubadili mafuta ya kupikia alaf kama tatizo likizidi umuone doctor
Mungu atusaidie maana dunia imekuwa na mambo mengi!! Hivi wanaume mnaosema mnawaheshimu mama zenu mnashindwa vip kuwaheshimu wake zenu? Hv mnadhani ni kazi ndogo kuzaa?
Siku thelathini ni siku chache sana kwa mwanamke aliyejifungua kuanza kushiriki tendo.Kwanini usiongee na mkeo vizuri...
Kuna sehemu nilisoma hii.
Unachukua mbegu za parachichi unasaga kwa kutumia greater thn unaanika.alaf utakuwa unachemsha unampa mgonjwa kutwa mara tatu.pia kuna mdada huko uoutube au tiktok anajiita jenifferatta huwa anajibu sana maswali hayo na kuonyesha tiba mbali mbali za mimea
Pole sana kwa tatizo ulilonalo..mimi ningekushauri ubadili aina ya vyakula unavyokula.pia niliona sehemu wanasema kama una low sperm count uwe na mazoea ya kunywa mchanganyiko wa karafuu ,kitunguu swaumu na tangawizi kutwa mara tatu.pia uwe unatumia asali mara kwa mara .kama hutojali jaribu...
Hata kama mnamkosoa mtu basi mkosoeni kwa hoja sio kwa matusi na dharau...kujenga taswira kwamba unamjua mtu kwa mabandiko yake huko ndo kukosa akili..Hapa kila mtu anaandika analojisikia maana hatufahamiani.so don't take things so seriously.
Elimu ya Tz bana. Sijui kama huwa inawasaidia baadhi ya watu.kuna menopause kwenye huo umri?km wewe umezaliwa wa kwanza kamuulize mzaz wako alimzaa mdogo wako akiwa na umri gani.acheni kudharau wanawakee.ndo mama zenu na dada zenu bila kusahau ndo wake zenu na watoto wenu
Yule mtu bana alikuwa na dharau flan baada ya kutusua kwenye haya maisha.Akawa na dharua za hapa na pale na anajua wadada wengi wanamng'ania.baada ya mim kumaliza chuo nkaondoka Dsm tukawa tunawasiliana ila kwa kusua sua..hapo mim sina kazi basi hata nkimtafuta mara niko bz unajua kazi za...
Hata hatukuachana kwa kutamkiana..ila distance ikatufanya tukapunguza mawasiliano hadi kila mtu akaendelea na maisha yake mengine..ila eti siku hizi ndo anajutia kosa lake.ila ameshachelewa sana may b alijua atazunguka weee mwisho atanikuta nipo tu tuendelee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.