Recent content by Cannos

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kigoma iko mbele kwa saa moja!

    kwa sisi tulioko tunduma - momba mby kwa sasa ni kama wazambia tu coz kila wakati majira yanasoma ya kizambia tu na hata radio zinazopatikana sana ni za kizambia, saa mbili usiku ndo giza linaanza kuingia
  2. C

    JamiiForums Tanzania DSTV wapandisha bei

    dah, kama kwa gharama ya awali tu watu walikuwa wanashindwa kununua vifurushi hasa vyenye access ya kuona mpira kwa hili ongezeko wataweza?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kawe kimenuka: Milio ya risasi yasikika!

    wavivu wa kufikiri wooote wako CCM, unabisha?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya Jk kuchelewa kutoa uamuzi wa Escrow

    mi binafsi nimekuwa nikidhani kuwa wanaccm wapo ccm kwa sababu ya ujinga na ulafi tu na sio kwamba hawaujui ufisadi wa ccm dhidi ya taifa
  5. C

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

    bila kujali itikadi zetu kisiasa, bila upinzani serikali ingetuchezea na kutufisadi saaaana kuliko hali ilivyo sasa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimrod Mkono alishwa sumu, ilikuwa imuue ndani ya masaa 72!

    Wadau, nahitaji kujua coz bado sijalielewa vzr suala la Mkono, hivi huko ughaibuni alienda kwenye issue gani?, Na inasemekana suala la ESCROW ni suala linalohusishwa na njama za kumuua mheshimiwa, sababu ni nini hasa?, ana uhusika gani na hili suala la ESCROW?, ni hayo tu!
  7. C

    JamiiForums Tanzania ''CCM imekufa na sasa inajizika yenyewe''

    gooood, mazishi lini?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wanyamanyafu/ Wamanyafu na Wanyakyusa

    now i know!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: Kampuni ya Tigo mnakera

    tiGO wameshapata wateja wengi, sasa wameelemewa, kuna suala la voucher zao, hazina ubora kbs, ukikwangua ikatokea umekwangua hadi zile namba, ndo imetoka hutarudishiwa huo muda wa maongezi hata kama umewasilisha hiyo card ya vocha ktk ofisi husika!
Back
Top Bottom