Recent content by Canivor

  1. Canivor

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaandaliwa kukaa madarakani kwa muda mrefu zaidi

    Umerogwa ndugu hahaha
  2. Canivor

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayochagua CCM lakini CCM hawawataki hii hapa

    Pwani tumeoza hasa hasa Mkuranga akh
  3. Canivor

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kinana na Nape hawakuwaogopa kabisa wapinzani kama ilivyo kwa warithi wao ?

    Hahaha wanao ujua uhondo wa ngoma ni wale wanao icheza mzee. Hahaha nacheka kwa mara nyingine ili niongeze siku zakuishi.
  4. Canivor

    JamiiForums Tanzania Taifa stars squad na uongo wa umri

    Hii nyuzi inafaida gani kwetu? Fikirieni faida na hasara ya mnayoyaandika kwanza mazee.
  5. Canivor

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo: Chadema walipata kura milioni 6 za urais 2015 hivyo wakiruhusiwa mikutano watahatarisha amani

    Pia acheni kujidanganya eti mnadhibiti upinzaani/ watanzania waliowachoka Hahaha kama ni hivyo basi wasijidanganye eti wanadhibiti WAPINZANI/ RAIA WALIOWACHOKA. hakuna aliefanikiwa katika hilo tembea uliza kote ulimwenguni
  6. Canivor

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo: Chadema walipata kura milioni 6 za urais 2015 hivyo wakiruhusiwa mikutano watahatarisha amani

    Sio kweli mzee, story ni hivi watanzania tuliowengi hatuitaki ccm. Hivyo kusema upinzani unaguvu ni kama unazunguuka kitu hivi, hao unaowaona wananguvu ni raia wa nchi hii ambao wanaonyesha dhahiri kabisa kuwa,WAMEICHOKA CCM. Hivyo tambua wazi kabisa hiyo nguvu unayoina ni matokeo...
  7. Canivor

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kwa miaka minne hakuna tembo, faru aliyeuawa

    . Me too, I never salute him from way back
  8. Canivor

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika Ndugai Bungeni leo sio kauli ya kizalendo

    Kuna watu mmejaaliwa akili za haraka naungana nawe
  9. Canivor

    JamiiForums Tanzania Jafo ni waziri ni mfano wa kuigwa

    Ni Sawa Kiongozi mzuri asie na scandal, ujivuni ni mtanzania asie na mashaka ila kwa urasi ni bado anahitaji akomae haswa. Bado hatujamuona akisimamia majukumu mazito inabidi adumu kwenye cabinet angalau 15yrs na huko kwenye chama Chao pia. Infact he need to grow more politically
  10. Canivor

    JamiiForums Tanzania Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

    That it is ma men nothing else
  11. Canivor

    JamiiForums Tanzania China yaionya Marekani isijaribu kupuuza uwezo wake wa kijeshi

    Na hana cha kumfany
  12. Canivor

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Innalilah wainailaihi rajiun
  13. Canivor

    JamiiForums Tanzania Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

    Walahi kuna watu wakorofi sana humu dah nimecheka hadi nimefungulia kwa kumeza machozi yaliyotiririka hadi mdomoni
Back
Top Bottom