ATCL lazima ife tu kama mtu mmoja amefikia hatua ya kwenda "kutanua" na Airbus kijijini kwao

Dege kubwa la abiria..

Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda kutamba na vi-Premio vyetu..

Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dege dude lile...

Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua ndege ya kubeba abiria 260, akaenda kutembea nayo kijijini? Isitoshe huyu ana ndege zake na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..

Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.

ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda...

Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅
Naanza kuamini kwamba huyu mtu akishajua anaondolewa hizi ndege ataziharibu makusudi kwa ule mtindo maarufu wa tukose wote
 
We tangu lini ukaisifia atcl ama umetumwa na mganga wenu leo??😊😊😊😬😂
 
Sio mtu mmjaa wewe pumbavu..

Huyu ni Rais wa nchii na anatuwakilisha wananchii. Atakapo panda tumepanda wananchi wote 60M..

Kuna naadabu..
 
Taarifa nilizonazo zinasema kuwa ndege hiyo ilikodiwa na serikali

Labda utusaidie wewe mwenye taarifa ulizonazo, gharama zilizolipwa zinalingana na passenger capacity ya ndege yenyewe..? Pia kuna ndege za serikali, ikiwa ni pamoja na Gulfstream 5, (ambayo serikali inaingia gharama kwa ajili yake kila siku), kulikuwa na sababu gani ya kukodi ndege kubwa kama lile..?
 
Dege kubwa la abiria..

Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda kutamba na vi-Premio vyetu..

Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dege dude lile...

Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua ndege ya kubeba abiria 260, akaenda kutembea nayo kijijini? Isitoshe huyu ana ndege zake na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..

Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.

ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda...

Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅
Wewe ukiwa unaenda kijijini kwenu kutamba na vi-premio, ukumbuke tupo tusio hata na baiskeli. Hivyo umshukuru Mungu kwa kuwa na premio: na ujue kuwa kamwe hamtalingana kama makalio bali mtakuwa kama vidole.
 
Back
Top Bottom