Recent content by candymarry

  1. C

    UVCCM Kufanya Mandamano August 31

    My take is here...UVCCM ni mtego kwa CHADEMA kwakuwa wanafahamu hawatapewa kibali au ruhusa na Jeshi la Polisi hivyo Police wataendelea na msisitizo wao kuwa hata UVCCM tumewanyima kibali hivyo na nyinyi hamna ruhusa ya kufanya hivyo!!Kwa sababu ukiangalia UVCCM hawakuwa na maandalizi yoyote ya...
  2. C

    Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    jaribu kumuona Dkt. Chris Mauki mtaalamu wa mahusiano na saikolojia atakusaidia
  3. C

    Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    Ndoa zinamatatizo yake ila kusolve tatizo kwa kulipiza kisasi ni kuongeza tatizo lingine..kikubwa Mrudie Mungu wako hakuna nguvu kubwa na yenye matokeo duniani kama Nguvu ya Sala...sali sana jiombee wewe na famlia yako na muombee sana Mume wako aweze kubalikika.pia uweke ukaribu nae ili uweze...
  4. C

    THE DEVIL WEARS SUITS! Evil Takes A Human Form Kwa Wanaume Wa Ofisini. Hutoaminiiii!

    Lara 1 i missed u.....eti hujafa, hujafanya fani zote duniani looh!
  5. C

    Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa

    wa kwanza huyooo!!!!watajitokeza tu humu leo,
  6. C

    Mwanangu ana umri wa miezi 9, hamtaki mamayake kabisa

    hapo kwenye bold hata mi naona kwakweli.....nadhani ulimaanisha "wrong"
  7. C

    Kuna huyu member mwenzetu Lara 1. je, unafikiri ni mtu wa aina gani?

    She is the firt woman i adore in MMU, i realy wish to meet her one day...................Big up dada u're sooooo smart na unajielewa,hukubali kushindwa no matter what.........thats the power of being a WOMAN.Lara 1
  8. C

    Wanawake ni watu wa ajabu sana

    _wanawake hua hawana shukrani, - wanawake hawachelewi kukukana hata kama umemsaidiaje, -marufuku kumpenda mwanamke hata kama ni mkeo,wao upendo wao uko kimaslahi tu, -wakuwapenda ni mama yako na wanao kama wakike,tena uwe mwangalifu with extra care. -hata ukikuta mwanamke anabakwa,waambie...
  9. C

    For Men: Pale unapokuwa na girlfriend wako halafu majamaa zako wanamtolea macho ya husda

    Salaam wakuu, Jana katika pita pita zangu nikitokea ofisini nikapanda daladala ya kurudi home,njiani kulikuwa na foleni kidogo na kuna gari ndogo ilikuwa inataka kuingia barabara kuu tuliokuwepo. Mara akatokea kijana akiongozana na girlfriend wake akaanza kuwasalimia wanaume waliokuwa ndani...
  10. C

    Ukiwa katika mahusiano na baada ya mahusiano

    kajitolea sana kustawisha penzi na kushtuka lahaulaaaa ameangukia pua......poleyake...,mwite tu aje avichukue,siku mkirudiana atavileta tena....
  11. C

    Ladies be careful

    True say dada
  12. C

    Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    OMG:shocked::shocked::shocked::tape2: Lara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
Back
Top Bottom