Mdau sijui ya mwaka jana ila mwaka huu wako na system ambayo sijui ndo hiyo aquaponic ambayo wana pump, mabwawa na vitank viwili pemben vya kuchuja taka ngumu na ammonia na wana system ya kuingiza oxygen moja kwa moja kwenye maji na wanasema maji ni hayo hayo kuanzia unaanza kufuga mpaka...
hii nchi inakatisha tamaa sana,sijui tutafika wapi kwa longo longo hizi.
Na ndo maana hata watu wenye mitaji mikubwa bado wamekazana na umachinga wa kununua na kuuza bidhaa za china sababu ukifkiria kufanya investiment ya maana bongo ,ndo mwanzo wa mwisho wako.
INASIKITISHA SANA
Za leo ngugu zangu? natumaini mambo yanaenda vizuri.
Hivi karibuni nimekuw nikiwaza sana juu ya kufanya small investiment hapa bongo, na nimepata mawazo mawili:
1. kununua mashine ya kusaga nafaka, nitengenze unga nipaki kwenye viroba na kisha niuze. Ingawa kwa wazo hili najiona kama nimechelewa...
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza...
ok ww uko tayari kwa kiasi gani?
nahitaji kufanya research kujua japo range ya bei kwa maeneo hayo ili kuwa relistic zaidi,but if you are interested tunaweza kufanya majadiliano zaidi hata kwa njia ya simu.
karibu
ndugu The Boss kama nilivyojieleza hapo juu sina uzoefu na bei za nyumba huko tegeta ndio maana nimeomba elimu hiyo kwa wana jamii wanijuze, unahitaji kupangishwa mzee?
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko mkoani Shinyanga ambako ndiko ninaishi kwa sasa,na sina uzoefu na upangaji/upangishwaji wa nyumba kwa...
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko mkoani Shinyanga ambako ndiko ninaishi kwa sasa,na sina uzoefu na upangaji/upangishwaji wa nyumba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.