Recent content by campsamjo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Shinyanga UKAWA hawachukui hata jimbo moja

    Kahama nayo iko dar au? Nawenyewe hawamjui lowassa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    , wivu utawaua jamani eti zitaifishwe
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa Amejimaliza Mwenyewe kwa kuwa na Kigeugeu

    Hicho ndio kigezo cha chakwanza ili kuwa muumini wa ccm (kigeugeu) mbona hushangai bungeni wabunge wa ccm wanavyo kosoa bajet halaf wanaiunga mkono Hilo ndio sharti la kwanza
  4. C

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Kwahiyo Lowasa ndio kaingia leo chadema
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Wanachelewa makazini mmezuiwa na nani msiwahi mtu mzima anaongea utumbo muha ya!
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    Mbona kila mahali kikwete anapoenda anakua na magufi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Kwani sianachukua form kupitia chadema iweje useme ukawa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Vitz million 5 (maongezi yapo) na gari nyingi njoo uchague

    Haya probox uko nayi?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Tujuzane huko ktk halmashauri zenu hali ikoje kuhusu barua za uhamisho jaman, mhh uvivu mpaka basi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    Hivi kuna wizara ipi bajeti yake inayopitishwa na magufuli, kujenga barabara ni wajibu wa serikali kwa watanzania kwakua tunalipa kodi, dah kweli watz tunaulewa mdogo mpaka haki yako ukiipewa unaiita zawadi tubadilike jaman ccm ni mfumo usitegemee mabadiliko yakaletwa na magufuli,tumesahau...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Bongo raha sana mtumbuizaji bora alikiba alitumbuiza wapi na anamshinda mpaka mtumbuizaji bora wa Afrika dah
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Jamani barua mbona hazifiki halmashari duh!
Back
Top Bottom