Recent content by CalvinKimaro

  1. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

    Alifanya nn?
  2. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kushuhudia maandamano makubwa hivi karibuni

    Wazazi wako ndugu zako hamna hata mmoja wa CCM?? na yeye kalewa c ndio??
  3. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Basi na wewe ni punda tu
  4. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuchukue HATUA kama mtakavyo

    so ww unafikiria straight
  5. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kafanya alichofanya Mzee Mohammed Kissoky miaka ya 70 Bukoba

    Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel =AZVPJI1yW9MoSQQLn68jW059p2Hv9XovEul-4su0ExTptJBYvDyS1jE5BzK4VAjAg3BPzbI5cl3_G1i3_IVWYde5oHPBIku7pj_dWLi-vjUNkq-t6QDJYUANsPiE71cRXRnvYf8ry6HAPQzOgsnRiNESlOhsj5GV4YoFJKBSAXIKfDAMnXeQyhtjAwwxN8jaSQE&tn=-R']Yahya Msangi Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa...
  6. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Darasani kwa Dr =AZWOli3HOXQk4Rcxr-PHaqtfymiZEvij8RUph16XwH3srgBrYpvW0qxHxBMXO9OGURxO9rrUhTQfR1BhoF-OElsp0tSitv9PIoqFUs2DjHOncmPJW2RiPOBovJOvI8XVc5CiA_-qWxSZiXQJnqj4qDl_ghOV1B3UMLMYRlQNZR3UcA&tn=-]K-R']Yahya Msangi Notice: jifanye yako ule block fasta BANDARI YA BAGAMOYO HAIFAI HATA IKITIWA...
  7. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuchukue HATUA kama mtakavyo

    Morning KWA SABABU "CHUMA"....... Miradi yake mingine inaleta foleni, haina maana na hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya...
  8. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  9. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisaikolojia kuhusu COVID-19

    Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya Covid-19 ameshauri ifuatavyo: 1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu kila mara (kwa kuwa mambo mengi unayohitaji kujua juu ya Corona umeshayajua, yaliyobaki ni marudio...
  10. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

    Hata wewe mnafiki na muongo linapokuja suala la mitandaon.. Cha msingi hakuna aliyekulazimisha
  11. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

    Amani iwe kwako! Mimi nikiwa kama muumini wa Kanisa lako la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki nimeshangazwa na ujumbe ulioutuma katika barua ya wazi kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani umeacha jukumu la msingi uliloitiwa na Mungu la kutuhubiria wananchi ili tuokoke na...
  12. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Akili mukichwa: Wengine wakimbia nchi wengine wakimbilia Bungeni Dodoma

    Mara baada tu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wakuu wa CHADEMA walidai hawawezi kubariki uchafuzi na kwamba hakuna mbunge wao atakubali kuapishwa. Sasa wameapishwa! Nimesikia Lissu akihojiwa leo na TV kuhusu kuapishwa wabunge wa CHADEMA naye akadai kwamba anajisikia kama Yesu aliyesalitiwa...
  13. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane: Ushirika wa CHADEMA, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister

    Ukishindwa kunielewa labda utanielewa mwakani....
  14. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane: Ushirika wa CHADEMA, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister

    Ehh bwana na hakuna sehemu niliposema maswala ya pesa mie
Back
Top Bottom