Hatujakataa kufanyika matengenezo ila wateja tunapaswa kufahamishwa , binafsi nimewapigia simu hawapokei na la simu inatumika na ni wiki sasa kumekuwa na shida ya umeme . Mfana Jana saa 1 Usk umekatika mpk Usk wa manane, Leo wamekata Tena saa 1 Usk. Na mchana umekatika kama mara 6 unawaka na kuzima. Nipo Kilimanjaro. Tujulishwe wateja tujue.Hivi hamjuagi kwamba kuna maintenance zinatakiwa zifanyike dah watanzania ni watu ambao sio waelewa Kabisa
Kila kitu ni kibaya kwenu