Recent content by Calvin 45

  1. Calvin 45

    Je, kipi cha kuanza nacho kati ya kuomba mkopo na kuomba chuo?

    Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu. Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa na university, ama unaweza omba tu mkopo hata kama hujapata chuo. Maana yake naona kama muda ni...
  2. Calvin 45

    Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Na vipi kuhusu kuomba chuo na kuomba mkopo kipi kinaanza kwanza. je, unatakiwa kuomba chuo kwanza ndiyo uombe mkopo ama inakuwaje hapo wakuu. msaada weni ni muhimu sanaa
  3. Calvin 45

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Huwa anatakiwa kulipa deni angalau asilimia 25% then anatuma maombi ya mkopo tena, kama ana sifa atapata kama kawaida. na huwa wanatumia sheria za mwaka ulioomba mkopo kwa mara ya kwanza. mfano kama uliomba mwaka wa masomo wa 2019/2020 watatumia muongozo wa mwaka huo ila kwa mtu aliye acha chuo...
  4. Calvin 45

    Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Naombeni msaada wenu wakuu. Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa. Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
  5. Calvin 45

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    hapana. ukirudi unabidi ulipe 25% ya mkopo wa mwaka wa kwanza alafu uombe mkopo upya, unaomba kama wengne na hakuna assurance ya kupata
  6. Calvin 45

    Kauli za kuwa Marekani kuna maisha magumu!

    Duh shuguli ni kufika huko na kupata kibali Cha kufanya kazi na kuishi huko mkuu.mimi ninandoto za kusomea marekani na Nina somea public administration sasa sifahamu Kama nitaweza kupata fully funded scholarship,kwa anaye fahamu anisaidie kwa ushauri[emoji1666]
Back
Top Bottom