mi nadhani mungu ndo amekuonya kwa kukupa huyo house girl amekupa jambajamba kidogo tu na still hataki kuuona mkono wa mungu, endelea na uhakika hautaleta hata huo unaouita mrejesho hapa JF mungu ni mwaminifu na amuonyeshe madudu ndugu yetu ili we upate unachokitafuta kwa huyo jamaa yako
unaweza ua, cha kufanya ukifika nyumbani we toka na simu yake kalale nayo kwa demu wako uliyekuwa unamtonoza kesho amkia kazini najua atakuja kujua kama uko hai, akifika mkabidhi simu yake mwabie aende jioni atakueleza kila alichokifanya siku zote na huyu mwizi wake then chukua hatua
Ahaa hao hauingii garama sana zaidi ya kupata pa kumlaza tu, si ndio hawa wanopigiwa hata chooni maana akitoka kwa mumewe anahakikisha mpaka aonane na dudu ndo roho inarudi normal ila mwisho wake ni bora usingezaliwa hapa duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.