Recent content by caleb 4G

  1. caleb 4G

    Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

    [emoji120] [emoji120] [emoji120] Toa msaada Mkuu, na kutoa ni Mali si utajiri, Lakini mimi siweziktoa msaada kwa mtu ambae 1.Anamiliki majumba na magari wakati Mimi hata pikipiki sina 2.Anaetaka kutibiwa abroad wakat hata hospitali za ndani zinawezakumtibu na kwa amani kabisa, 3.mtu...
  2. caleb 4G

    Msaada: Nalazimishwa mtoto wakati akili yangu haiamini

    100% nmeconfirm mtoto si wako kaka! Kua makini utajila. Sababu baada ya tendo huchukua masaa8 hadi 12 mimba kutungwa, na baada ya mimba kutungwa dalili za kwanza huonekana baada ya siku 4, na hapo ndio mjamzto anaanza kupata dalili za mimba. Sasa yeye aliwezaje kugundua mapema kias hcho na...
  3. caleb 4G

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Dada hapo unafeli! Fkiria tu kwa haraka unaejarbu kumtunishia msuli anamiliki vifuatavyo 1..MUME 2..NYUMBA 3..MAGARI MAWILI Wewe apo unamiliki michepuko na ndoa yko unaelekea kvunja, cdhani ata nyumba kma unayo, ila umepanga na unaridhka kwa hela na ajira vyte umepata kwa garama ya...
  4. caleb 4G

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Unakumbuka kama bombardier bdo imeshndkana kuzileta ktka Canada mpaka sasa?
  5. caleb 4G

    Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

    Mrisho ngassa, kwenda simba
  6. caleb 4G

    Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

    Unayumba sana Mkuu! Mtu akisema "MKRISTO" unaelewa mini? Ukijua maanayake bilashaka utaachaksema yesu hakua mkristo na haujui ukristo
  7. caleb 4G

    Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    1.why is it not advisible for soldiers to cross a bridge matching? 2.food with high moisture content is said to be cooked faster in a microwave oven, why not dry foods? 3.Explain why warning signs are given in red coluor, or red light. 1.why is it not advisible for soldiers to cross a...
  8. caleb 4G

    Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    It is because a body tend to remain in its state of rest or constant rotational motion unless an external torque is applied on it. Refer to the Newtons law of inertia of rigid body.
Back
Top Bottom