Recent content by calculator

  1. calculator

    Wazo: Lissu afanye press conference kuelezea tukio akiwa Nairobi, Kenya

    Kamshauri kwanza bwanako DAB na choko mwenzie Le-fingaz watafute muafaka khs jerry muro. Haya ya Tundu sio level yako..
  2. calculator

    Wazo: Lissu afanye press conference kuelezea tukio akiwa Nairobi, Kenya

    Very true asee. Naungana na wewe mkufunzi. Wazo zuri. Nadhani wadau watalifanyia kazi
  3. calculator

    Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Wewe Henry Kisanduku mapovu ya nini?? Tumeshakujua kaa kimya sasa
  4. calculator

    Makonda, kwa nini Rais wetu anakosana na kila mtu kwa ajili yako?

    Mrushie mange kimambi huo ubuyu achafue hali ya hewa chaap
  5. calculator

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Heheheheeh.. umenimaliza kabisa wee jamaa
  6. calculator

    Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

    Sasa kama hii ndio hoja, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wengine ulifanyika kwa nini????
  7. calculator

    Ninachokipenda kimeharibika,naomba msaada jamn

    Jukwaa la cheichei shangazi..
  8. calculator

    Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Wee jamaa umekurupuka. Huelewi kilichoandikwa au??
  9. calculator

    Mbatia pole sana, ulikuwa unafukuza mwizi huku umesahau kufunga mlango wako!

    Wenye akili zao timamu wameshakupa meseji yako. Wee jaza mapovu tu hapa.. Narudia kuisoma post ya Facilitator hii mara ya 14.
  10. calculator

    Mbatia pole sana, ulikuwa unafukuza mwizi huku umesahau kufunga mlango wako!

    Genta-delicious nakusoma.. naona kama kawa unajaza povu barazani. Nimependa makavu aliyokupa Facilitator. Una a very critical "Id ego" ikichangiwa na ufupi wako.
  11. calculator

    Uhusiano wa Yanga na CCM upo hatarini kuvunjika

    Wee jamaa unakuwaga na tatizo la kujiona mjuaji sana. Huo ni mtazamo wa Edo, ni mawazo yake tu.. ambayo sio lazima wewe uone au ufikirie kama yeye. Wewe unamuita mpuuzi. Unaboa sana wee jamaa
  12. calculator

    Wanaopanda kutuhubiria na kutuombea katika Mabasi sisi na wao nani wana dhambi zaidi?

    Show your maturity wee jamaa. Acha tabia za kishamba.. Unaboa sana
  13. calculator

    Wanaopanda kutuhubiria na kutuombea katika Mabasi sisi na wao nani wana dhambi zaidi?

    GENTAMYCINE nimefuatilia post zako nyingi sana. Nimegundua una tabia ya kulalamika sana na kujiona genius. Mambo mengine ni ya ku ignore tu ili maisha yawe smooth. Sio kila jambo likutoe mapovu tu. Life is easy brother..
  14. calculator

    Mwanamke bikra na asiye bikra

    Na siku mwanao akitolewa njoo hapa utupe mrejesho
  15. calculator

    Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

    Elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta suluhisho ya changamoto zenu wewe na mwenzio GENTAMYCINE . Mapovu mitandaoni hayawasaidii.. Mtu katoa mawazo yake.. mnamzodoa hapa.. kwani lazima wote tuwaze sawa??
Back
Top Bottom