OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,015
- 114,360
Pamoja na kwamba mimi sio kati ya wanaomkubali Rais Magufuli toka kipindi cha kampeni mpaka ameshika dola,lakini ndio Rais wangu,ndiye rais wa Tundu Lissu,Mange Kimambi na kila mtanzania.
Lakini kwa mambo yanauoendelea kwa kweli hapana,inashangaza sana. Naamini kila mtu anashituka kuona rais anang'aka kila anapozungumza/hutubia
Haiwezekani kwa sababu tu ya Makonda,rais anakisana na kila mtu,kukosana na Tundu Lissu ni automatic tu,lakini sasa rais kakosana na vyombo vya habari,kakosana na mitandao ya kijamii,kakosana na wafanyabiashara,kakosana na watumishi wa umma tena huku ndio hali mbaya kabisa
Hii yote ni katika kumtetea Makonda,wewe Makonda kwa nini lakini?
Yaani kweli mtu anafikia wakati yupo tayari kupoteza kila mtu lakini Makonda abaki? Kweli rais anampoteza Nape Nnauye wafuasi wake kwa sababu ya mtu mmoja tu tena mwenye kashfa zilizo dhahiri?
Hii ni utendaji kazi mzuri tu ama kuna jingine? Lakini kama ni utendaji mbona hata Nape alikuwa anajitahidi sana,hasa hasa kukusaidia katika utawala wako?
Makonda ana exception ipi?
Hivi kweli imefika wakati rais anatukanwa namna hii mitandao ni kwa sababu yako?
Hivi kweli rais wamekuwa haamini katika kupambana na ufisadi kwa sababu yako.Nimestaajabu kuona hata makontena yaliyokamatwa na rais pale bandarini inasemwa na feki,yote haya unasababisha wewe
Ona aibu Makonda,achia ngazi kumtunzia heshima rais wetu. Kama rais ameweza kukulinda namna hii nani atakufanya kitu?
Mtunzie heshima mkuu wa nchi acha tamaa ya madaraka