Hapana sidhani kama upo sawa jana walitoa majina ya data base kutokea tarehe 16-12-2025 hadi tarehe 20-07-2026 lakini leo wametoa tena mkeka wa data base kuanzia tarehe 29-09-2025 hadi 18-08-2026. Unaweza kujionea mwenyewe kwamba zoezi bado ni endelevu kuandika hizo tarehe haimaanishi kwamba...
Nimekuta nimeandikiwa passed and stored in data bank ile oral ya NAOT niliofanya sijaelewa ina maana gani? Maana nilishajiapiza sitafanya tena interview za serikali.
Mwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
Tatizo muda na majukumu. Umri umeenda mwezi huu naingia 32 nimeona bora niendelee kukomaa huku nje. Nguvu na focus nilioweka kwenye hizi interview niiweke kwenye shughuli ninazofanya.
Hongereni sana wote mliopata kazi. Leo official ndio nitakua nimeacha kufanya interview za kazi za Serikali. Nilikua miongoni mwa waliofanya oral ya NAOT tarehe 19 August 2026 lakini kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupita. Kulingana na umri wangu nimeona bora niendelee kufocus na ninachokifanya...
Leo nimerudi kwenye video ya kuscan alio post mange kimambi. Haya ni mambo niliogundua.
Website ilionyesha kwamba risiti ipo verified sio website ya tra inayotumika kufanya verification za risiti.
Nimeambatanisha screenshot angalia hiyo website sio inayotumika kufanya verification ya risiti...
Hiyo risiti sio halali. Nimefanya verification kwa kutumia verification code hamna taarifa za hiyo risiti kwenye mifumo ya tra. Huyo abdul ni mfanya biashara hawezi kufanya malipo ya kiasi hicho bila ku utilize VAT yake kupitia TIN yake. Naongea kwa uzoefu mkubwa kabisa kama tax consultant...
Wakuu naomba kuuliza hizi nafasi za Finance Management Officer kutoka kwa msajili wa hazina. Watu wanatakiwa kusoma issue gani au kuna group lolote. Maana kuna watu wanasema kutakua kuna usaili hadi wa practical.
Nimefanikiwa kufika dodoma. Jamaa wamekataa kata kata kunibadilishia address ya barua inamaana wamenidisqualify kwenye hizo applications zangu zote nilizoomba. Nimejaribu kuongea nao sana hawanielewi. Hii haijakaa sawa wakuu. Unakosa vipi nafasi ya ushiriki wa interview kisa address wakati vyeti...
Habari za muda huu wakuu. Nimefanya application za NAOT kwa bahati mbaya address nimeweka ya NAOT badala ya PSRS kwenye barua. Kuna application zangu zingine za nyuma zilikataliwa kwa sababu hii nataka nibadilishe hii barua. Je nikifika ofisini kwao wanaweza kunisaidia hilo?
Maana mfumo...
Kingine nimegundua hauwezi ukawa tajiri pasipo kuwa smart kichwani. Jamaa yupo smart sana. Anapangilia hoja zake bila papara ila Tido kwa kiasi fulani ametuangusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.