Recent content by CAILER

  1. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Mungu mbariki Lowasa mungu ibariki Tanzania. Please usiache kupiga kura mwamasishe na mwenzako aliye kata tamaa. Vote for our president EL
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tsunami la UKAWA laikumba Karatu, Mbowe amzungumzia Dr. Slaa

    Mungu mbariki Lowasa Mungu mpe nguvu na uzima walio sema mgonjwa sijui wana jisikiaje sasa kwani mgonjwa ana fanya mikutano wilaya 6 kwa siku jamani aibu zao . Wana jf wote bila kijali imani zetu tumwombee Lowasa nguvu . Afya tele na tumtamkie maneno ya ushindi . Tusisahau kupiga kura pia kura...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    Asante kingunge karibu baba wa taifa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Muleba kwenye mkutano wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Lowasa Lowasa Lowasa jamani tukubali huyu baba anapendwa . Nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo kwa watu pamoja na kufuatilia clip mbalimbalu na maoni pia. Hata kama ana mapungufu lakini kama ule msemo wa nyota kung'aa basi huyu baba imetulia na kama ule msemo wa damu ya kupendwa basi Lowasa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Asante sana mleta uzi sifa hizi hazipingiki. Kikubwa tijitahidi kupiga kura jamani na watu wetu wa karibu tuwahamasishe tusiishie hapa jukwaani. Mabadiliko ni lazima ccm sasa basi ipumzike hakuna sababu ya kuendelea kuongwazwa na chama kisicho jali wapiga kura wake. CCM walifika mahali pa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Jamani vijana wenzangu tujitokeze tarehe 25 tukamalize kazi ya kuing'oa ccm. Kichinjio chako tunza
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mabati for sale

    Price list please
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rushwa ni sehemu ya maisha yangu

    Sema TIPS maanake kama una jambo la kufanya follow up lazama uache kitu kidogo ili lifanyiwe kazi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa-arusha

  10. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinapangishwa Mianzini ya juu Arusha

    Ni pm mimi nina nyumba sakina 200,000/- nzuri haijawahi ishi mtu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa-arusha

    nyumba inapangishwa arusha eneo kibanda maziwa. Nyumba ina chumba kimoja cha kulala sebule na choo ndani ziko 3 kwenye compound moja. Ziko karibu na barabara kuu ya nairobi. Ina geti maji na umeme ni mpya. Kwa mawasiliano zaidi pm au piga no 0754 274463.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni yapi Matunda ya muda mfupi?

    Passion ni nzuri na zina zaa sana especially but polution yake nadhani sio nzuri sana kama una matunda mengine like maembe ile pollution ya passion inaweza kuwa na madhara maembe yasizae. Mimi ziliharibu maembe yangu yakaacha kuzaa nilipokata maembe yakatoa matunda. Wajuzi watujuze
  13. C

    JamiiForums Tanzania Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Tujue kwanza elimu yako. Nahisi hata darasa la pili hujafuzu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye love pin code

    Sasa mbona hamfunguki. Jamani au mnaogopa mleta uzi hebu anza
Back
Top Bottom