Recent content by caiden mills

  1. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)- special thread

    Uliza chochote kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.
  2. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Kesi katika mpira wa miguu ( TFF)

    Habari wakuu, samahani et naweza pata vipi maamuzi yanayotolewa na arbitration bodies za TFF?
  3. caiden mills

    JamiiForums Tanzania SoC03 Akili bandia (AI) katika Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuboresha Huduma za Umma Bila Kuathiri Nafasi za Kazi"

    1. Uwajibikaji Kupitia Ulimwengu wa akili Bandia (AI) Tanzania inaingia katika wakati wa kusisimua ambapo teknolojia za kidijiti, kama vile Ulimwengu wa akili Bandia (AI), zinaweza kuleta mapinduzi katika nyanja za uwajibikaji na utawala bora. Teknolojia hii inaweza kuboresha uwazi katika...
  4. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Shahada ya sheria kwa chuo cha UDOM wanaangalia vigezo gani?

    Nahitaji kufaham vigezo walivotumia kuchagua! Nshamalza six
  5. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Shahada ya sheria kwa chuo cha UDOM wanaangalia vigezo gani?

    LLB degree ya sheria (law) Kwa wanafunzi wa form six wanaangalia vigezo gani kuchagua!? Kwa msichana na mvulana!? Kwa upande wa udom.
  6. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua, nje ya Medical Doctor (MD), course gani nyingine ipo kwenye soko miaka 3 hadi 4 ijayo?

    Ajarbu tu ku reapply atapata nafasi nying zimejazwa na waliopata multiple ko waki confirm chance zitabaki na mostly kaekwa akiba et ko wata Mconsider mungu atamsaidia atimizie ndoto yake! Me piah na one yangu ya 6 hapa kuna course sjachaguliwa!
  7. caiden mills

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Kuna dogo nlimuombea chuo ngazi ya cheti saut muda Sana toka mwezi wa nane nahis na still majibu awaweki kwenye account hapa utaratbu unakuwaje kujua kachaguliwa au lah?
  8. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

    Fafanua itakuwa vyema zaid
  9. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

    Na field za Kazi ni maeneo gan labda?
  10. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

    Shukran[emoji120] nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
  11. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

    Hii course ina deal na nini kwa anayefahamu naona nko jukwaa sahihi!
  12. caiden mills

    JamiiForums Tanzania HESLB acheni kuzingua, kwanini hamtatui tatizo langu? mnasema mnalifanyia kazi zaidi ya masaa 4?

    [emoji23][emoji23]dah jamaa and then mdau kachelewa Sana bana up to that extent it's too late but mungu akusimamie umalize salama
  13. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya!

    Maelekezo muhimu
  14. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Tatizo la 'school name not found' HESLB

    Kwa anayeelewa juu ya Jambo Hili inakuajeh kuna effect zozote kwa muombaji maake ukiandika namba ya shule inaleta jina but ukiprint form inakuja sehemu ya advance pameandikwa school name not found
  15. caiden mills

    JamiiForums Tanzania Barua ya udhamini bodi ya mikopo

    Samahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo [emoji120]
Back
Top Bottom