caiden mills
Member
- Jul 13, 2019
- 49
- 19
Samahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo
Sasa hv sio kama zamani huandiki barua unaijaza ile fomu unaambatanisha na hvo vitu sjui risiti za malipo ya ada nkSamahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo
Mkuu, kuna vipengele Fulani kama kutaja sababu za ufadhiri na vitu vingine hawajaacha nafasi za kujaza pale ujazaje..?Fomu complicate Sana Ukijichanganya umeumia nimewapigia simu nikawaambia Kama hakuna hizo risiti wananijibu unafadhiliwaje bila ya kufanya malipo tafuta risiti na documents coz Ni MUST BE ATTACHED
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mtu amefadhiliwa na shule, mfano Feza? Maana wewe kazi yako kusoma tu mambo ya malipo hujui yanavyoenda.Fomu complicate Sana Ukijichanganya umeumia nimewapigia simu nikawaambia Kama hakuna hizo risiti wananijibu unafadhiliwaje bila ya kufanya malipo tafuta risiti na documents coz Ni MUST BE ATTACHED
Sent using Jamii Forums mobile app
No ni kawaida haina madharaWakuu samahani..Mimi nimefanya mtihani kama private candidate pale arusha school center.. Sasa kwenye kujaza form ya mkopo kwenye kuweka namba ya mtihani shule haionekani.."school name not found" ila chini yake pana namba halisi ya shule..itaniathiri?
Mkuu, kuna vipengele Fulani kama kutaja sababu za ufadhiri na vitu vingine hawajaacha nafasi za kujaza pale ujazaje..?
Au umebananisha hvyohvyo..?
na hapa napeleka wapi wakuu ili pajazwe??
View attachment 1547556
Hii form mwaka huu wameua duuhNimeshindwa kuijaza hiyo fomu mkuu nimeachana nayo nimejitoa sadaka liwalo na liwe coz nafasi Ni ndogo afu sanction za kutoshaa