Recent content by cager

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sisi ni mabingwa wa kufunga AC karibu tukuhudumie

    Ninayo Ac aina ya Samsung 24btu. toka nimenunua sijaitumia sana kutokana na ukubwa wake na mimi sebule yangu ni ndogo sana. Ningependa kubadilisha nipate angalau 12btu. Kama kuna mtu anahitaji A/c kubwa anaweza akanipatia hiyo ndogo tufanya kubadilishana. Nilinunua bila kupata elimu ya kutosha.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona MP wa jeshi mwenye cheo cha juu

    MP kirefu chake ni Military Police wanasimamia nidhamu kwa askali wa chini.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafirishaji kwa kutumia Noah

    Tafuta kampuni za tours zinazohusika na biashara ya usafirishaji waonyeshe gari yako ikiwa ni nzuri wataikodi kwa kupatana bei
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, familia ya Lissu na TLS rudini mezani upya

    Pambaneni na Kamanda Lisu mwenyewe mzima ameshinda mauti.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    Wewe bado upo usingizini.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Emanuel Buhohela acha kumzushia Mh.Mnyika

    Tuna kazi sana watanzania kusonga mbele yaani pamoja na jitihada anazozionyesha bungeni za kuwatetea wananchi wote bila kujali wa jambo gani, halafu mjinga mmoja anataka aende mazese aje afanye nini au mlitegemea mkimchagua atakuwa anawagawia hela? Jinga sana ccm wamewazoesha vibaya sana nyie...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kukagua chumba cha hoteli inaniudhi

    Hiyo sio hotel itakuwa gest
  8. C

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Kutokwa na damu sio lazima uumizwe huenda jamaa walishajipanga wakawa wemeweka mifuko ya plastic yenye damu maeneo ya tumboni, kama ni mpango lakini.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nape Nauye amkubali Edward Lowassa kwa utekelezaji

    Ngoyai ndie Rais ajaye, anayesema amechoka amesikia ikulu kuna kazi ya kubeba magunia.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Tatizo jamaa zetu hawaaminiki akitokea mjanja awaambie kuwa wanaopinga katiba pendekezwa ni wakristo basi wote wataamini, watu hawana msimamo ukiwatajia dini tu umewawini.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Hawana hoja ya msingi ndio wanasiasa wamewageuza toilet paper
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Kasoma shule za Seminary mkuu wa Nchi.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Wanawakilisha mama zetu, dada zetu na mabinti zetu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Basi umesoma lakini hujaelewa.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kadhi's court: A voice from a Muslim woman

    Mama yako ni kiongozi wako amekuongoza tokea mdogo hadi sasa ataendelea kuwa kiongozi wako yeye ndiye anajua uchungu wako.
Back
Top Bottom